Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunasiku niliwahi kukutolea povu??Kumbe wanawake wa humu mmeolewa lakini kutwa kututolea mipovu humu jukwaani.
😄😄 Hongera sana....kila la kheri kwa mkeo atoke salama huko..How did you know🙃
Niko Istiqama I am surprised you know it. Niko hapa chumba private, niko na mwanangu namngojea mama yake atoke operation room. .
View attachment 2569605
Hongera chiefHabari za asubuhi ndugu zangu wa JF
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu. .
Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.
Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu. .
Ndugu yenu Gily . .
Updates:
07:41 Nimefurahi sana ndugu zangu nimepata mtoto wa kiume. Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie. Mungu kanipa hitaji la moyo wangu, nilikuwa natamanj sana kuwa na mtoto wa kiume. .
Mke wangu bado yuko chumba cha upasuaji. Nimepewa taarifa she is doing fine ila bado wanamshona na kumsafisha. I can't wait to see her. .
wow kila mwezi birthday ni vyema kufurahi pamoja.Mungu awasimamie wifi ajifungue salama watoke wazima yeye na mtoto
hbd kwake
sie kuanzia october had januari ni birthdays tu naanza mie october, mwanangu wa kwanza november, baba yao december na our last born ni january
Kwaya kishiheNgakola mwana wa kisoro. Shukrani sana meku. .
Yeye hakutakiw apate uchungu ingeleta shida so doctor akapanga operation tarehe 25 ila wife akaomba iwe leo zifanane. .Wow., Gily , all the best..
Ila mmeforce operation Leo ili wazaliwe siku moja (wawe na birthdays zinazofanana), ama Leo ndo ilikuwa siku yenyewe?