Maombi yenu tafadhali

Utukufu kwa Mungu aliye juu...
Hongera kwako na familia yako Gilly,

Naona soon kuna mtu ataleta thread kama hii ya mtoto wake wa pili...

Mac Alpho njoo umpe neno mpendwa hapa tafadhali...
Una majungu na wanangu wamepishana mda mfupi kama unajijua vile๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ
 
Hiyo hospitali inaonekana iko vizuri, ni private bila shaka.

Vipi huduma zao ukizirate kwenye 1-10 scale.
Ni hospital ya waislam I mean ya msikiti

Huduma zimetoka uarabuni ziko Bien. Mimi Mkristu na hawanibagui. .
 
"Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie"

Shimbonyi mkuu sijui ndy wanasemaga hvyo huko kwetu kaskazini.

Hongera sana mkuu empire imeongezeka.
 
Unataka muanze kuniamkia shikamoo humu ndani?

Mambo vipi inanitosha๐Ÿ˜€ maana siku hizi hata road naamkiwa shikamoo father shikamoo brother mpaka na wenye mvi noma. .
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…shkamoo niheshima kubwa mkuu.mana sasahivi vijana kuitoa hiyo salamu nimbinde
 
Kuna nwamba amejua hospital wakati sikuiweka. Hospital ni Istiqaama iko magomeni ๐Ÿ˜€

Nimesahau chaji yangu ya Samsung. Kama kuna mtu karibu aniazime ya kwake nitakuja kumrudishia. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ