Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😂😂😂Sijapenda aje anitake radhiMagogo khaa!!! 😂😂!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Sijapenda aje anitake radhiMagogo khaa!!! 😂😂!
Kwakweli hapo amezingua gogo litakaa wapi sasa jamani!😂😂😂Sijapenda aje anitake radhi
Et Jamani 😂😂😂Kwakweli hapo amezingua gogo litakaa wapi sasa jamani!
Hongera sana mkuu
😂😂😂Daktar wake auawe😂Kuna dada nilikutana nae ni bonge naona waliona wakiweka kijiti na mwili wake kitavunjika wakamuwekea gogo kama mwiko wa ugali😀😃
Shukran sana. Nachicha. ."Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie"
Shimbonyi mkuu sijui ndy wanasemaga hvyo huko kwetu kaskazini.
Hongera sana mkuu empire imeongezeka.
😅😅😅😅😅shkamoo niheshima kubwa mkuu.mana sasahivi vijana kuitoa hiyo salamu nimbindeUnataka muanze kuniamkia shikamoo humu ndani?
Mambo vipi inanitosha😀 maana siku hizi hata road naamkiwa shikamoo father shikamoo brother mpaka na wenye mvi noma. .