Maombi yenu tafadhali

Maombi yenu tafadhali

Much congratulations mkuuu watoto ni baraka!!
Mungu ni mwema atasaidia arekave mapema na kusiwe na changamoto zozote zitokanazo na oparie!
Allah Awajalie afya njema furaha na maisha marefu wewe mama na wanao IJN!
Iwe Kheri shangazi mtoto akikua nitatupia picha hapa. .
 
Basi fujo fujo zako kumu nikajuaga una miaka 18 bana 😁😁😊😊!!
Haha leo unajua mimi pia ni mjomba😀
Si ulisemaga unapenda wazee, sasa mvi mwisho ziwe zimetokea wapi? define it. .
 
Big up sana Chifu, hapo unazidi kuwa na mzuka wa kupambania familia yako maana nakala za uzao wako tayari zimeshaonekana ungali hai na mwenye nguvu tele.

Ikimpendeza Mungu namwomba akuwezeshe vyema katika malezi bora ya familia yako.
Ningekuwa ulaya kwa haya maneno ningelia kabisa kama wanavyofanya kwenye movie ila kwa kuwa tuko bongo ngoja nisilie wasije kusema vibaya. Maneno mazuri sana Mungu akubariki zaidi. .
 
The type of relationship posts I expect my son to come across online!

😍😍

May all family men and their families acquire the most abundant blessings...

....in this life and the next...
 
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF,

Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29[emoji846]. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu.

Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.

Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu.

Ndugu yenu Gily . .

Updates:
07:41 Nimefurahi sana ndugu zangu nimepata mtoto wa kiume. Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie. Mungu kanipa hitaji la moyo wangu, nilikuwa natamanj sana kuwa na mtoto wa kiume. .

Mke wangu bado yuko chumba cha upasuaji. Nimepewa taarifa she is doing fine ila bado wanamshona na kumsafisha. I can't wait to see her.

Updates:
08:00 mke wangu katoka chumba cha upasuaji. Tuko chumba cha wodi private. Anaendelea vizuri madaktari wanampima pressure iko vizuri kabisa. .
Hebu kaa na usocialize na mkeo acha, anakuhitaji sana wewe kuliko sisi unaotuhadithia. Sisi hatukusaidii chochote.
 
Back
Top Bottom