Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

Unahi simba atashinda ngap leo

  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • Simba

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .

Hayuka

Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
15
Reaction score
17
Kama naona Mpanzu, anavyo futa makosa leo, ataimbwa sana Trust me
 
Huu uzi unaweza kuwa kweli aiseee, maana nimeona Ellie Mpanzu alivyogongesha post dk 1 kabisa ya mchezo. Simba ingekuwa inaongoza 1-0 hadi muda huu.
 
Shida ni ileile ya kujisahau uwanjani kiasi wanakosa clear chance
Wachezaji wa Simba wana upumbavu mwingi. Ile dk ya kwanza walipata nafasi za kufunga (Mpanzu na Ahoua) ila wakashindwa kufunga. Wenzao wamepata one clear chance na wameitumia kufunga.
 
Mbuzi kashatafuna jamvi huko, wapambe sijui mtalala wapi...
 
Back
Top Bottom