JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024.
Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze.
Shamba hilo lipo kando ya barabara ya Morogoro.
Ndugu wafugaji na wafugaji watarajiwa mnakaribishwa kuona aina mbalimbali za ng'ombe wa nyama wanaofikia hadi kg 800,mbuzi wanaouzwa hadi tsh.6,000,000(millioni sita).
Kutakuwa na semina za ufugaji kutoka kwa mabingwa wa ufugaji.
Utapata pia fursa ya kukutana na wafugaji mabilionea,kujionea zana mbalimbali za kisasa za ufugaji,unywaji wa maziwa,michezo ya watoto na mambo mengine mengi mazuri.
Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa za Instagram za tccs_tanzania na mbogo_ranches.