Maonesho makubwa ya mifugo na mnada kufanyika kuanzia 14-16 juni 2024

JS Dairy Farm

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2022
Posts
331
Reaction score
744
Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024.
Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze.

Shamba hilo lipo kando ya barabara ya Morogoro.

Ndugu wafugaji na wafugaji watarajiwa mnakaribishwa kuona aina mbalimbali za ng'ombe wa nyama wanaofikia hadi kg 800,mbuzi wanaouzwa hadi tsh.6,000,000(millioni sita).
Kutakuwa na semina za ufugaji kutoka kwa mabingwa wa ufugaji.

Utapata pia fursa ya kukutana na wafugaji mabilionea,kujionea zana mbalimbali za kisasa za ufugaji,unywaji wa maziwa,michezo ya watoto na mambo mengine mengi mazuri.

Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa za Instagram za tccs_tanzania na mbogo_ranches.
Screenshot_20240608_164215_Instagram.jpg
Screenshot_20240608_164442_Instagram.jpg
 
Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024.
Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze.

Shamba hilo lipo kando ya barabara ya Morogoro.

Ndugu wafugaji na wafugaji watarajiwa mnakaribishwa kuona aina mbalimbali za ng'ombe wa nyama wanaofikia hadi kg 800,mbuzi wanaouzwa hadi tsh.6,000,000(millioni sita).
Kutakuwa na semina za ufugaji kutoka kwa mabingwa wa ufugaji.

Utapata pia fursa ya kukutana na wafugaji mabilionea,kujionea zana mbalimbali za kisasa za ufugaji,unywaji wa maziwa,michezo ya watoto na mambo mengine mengi mazuri.

Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa za Instagram za tccs_tanzania na mbogo_ranches.
View attachment 3011978View attachment 3011979
Bango mbona halina breeds za asili au mnakuja kutuonesha ng'ombe wenu wasio na pembe wala masikio mliowalisha hamira ?
 
Kwanini huu mnada umejikita tu kwenye commercial beef cattle? Wanatunyima hondo sie wa dairy cattle, natamani kuona siku moja wakasprout wakaweka na friesian Holstein, Jerseys, fleckvieh, Guernsey, gilorando, sahiwal n.k ili nasisi wa ng'ombe wa maziwa tuweze kujumuhika pamoja na pia tutafune nyama choma za best beef za boran na Brahman lakini tunywe yogurt na fresh milk, itakuwa nzuri zaidi.
 
Mkuu, nimewaza kama wewe pia.
 
Mkuu, nimewaza kama wewe pia.
Dairy cattle farms na wenyewe walete kitu kama hiki wanachokifanya hawa beef cattle ranches. Giants wakijikusanya hakuna kinachoshindikana, sisi wadogo tutafaidika na kuweza kupata elimu bora ya ufugaji ng'ombe wa maziwa kibiashara, kupata mbegu nzuri, pia inaweza kurahisha usafirishaji wa wanyama mnaweza jikuta watu wa Arusha mko zaidi ya watano au wa Mbeya au popote pale mnajikuta mmenunua mbegu nzuri na mnasafirisha kwenda mkoa mmoja basi mnashare transportation costs. Sio mpaka nane nane expos kama hizi ni muhimu after all nane nane sio wote wanaweza kuhudhuria.
 
Kwanini huu mnada umejikita tu kwenye commercial beef cattle? Wanatunyima hondo sie wa dairy cattle, natamani kuona siku moja wakasprout wakaweka na friesian Holstein, Jerseys, fleckvieh, Guernsey, gilorando, sahiwal n.k ili nasisi wa ng'ombe wa maziwa tuweze kujumuhika pamoja na pia tutafune nyama choma za best beef za boran na Brahman lakini tunywe yogurt na fresh milk, itakuwa nzuri zaidi.
Wazo zuri,nafikiri tuanzishe chama cha wafugaji wa ng'ombe wa maziwa ili tufanye maonyesho ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa .
 
Dairy cattle farms na wenyewe walete kitu kama hiki wanachokifanya hawa beef cattle ranches. Giants wakijikusanya hakuna kinachoshindikana, sisi wadogo tutafaidika na kuweza kupata elimu bora ya ufugaji ng'ombe wa maziwa kibiashara, kupata mbegu nzuri, pia inaweza kurahisha usafirishaji wa wanyama mnaweza jikuta watu wa Arusha mko zaidi ya watano au wa Mbeya au popote pale mnajikuta mmenunua mbegu nzuri na mnasafirisha kwenda mkoa mmoja basi mnashare transportation costs. Sio mpaka nane nane expos kama hizi ni muhimu after all nane nane sio wote wanaweza kuhudhuria.
Una mawazo mazuri .
 
Wazo zuri,nafikiri tuanzishe chama cha wafugaji wa ng'ombe wa maziwa ili tufanye maonyesho ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa .
Ndio mkuu ni hatua nzuri lakini yenye kuhitaji financial muscles, ndio maana ukiangalia set up ya hiyo event ya huko ubena zomozi utagundua Kuna giants wame engineer hii kitu mfano Mbogo ranches ambao wamejikita sana kwenye beef cattle ranches na mbuzi. Sasa tungepata start up ya watu kama Akina ASAS hivi ambao wamejikita kwenye dairy industry ni rahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom