Tetesi: Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( SABASABA ) kudorora tena kwa mara nyingine

M
Maonesho kama neno linavyomaanisha ni watu waingie kuona, watapata taarifa za bidhaa... ubora, bei, matumizi, faida nk... biashara itaanza pale na hasa baadae... pale ni matangazo ya bidhaa... hali itakapokuwa nzuri bidhaa zitauzika tuu... sio lazima pale.... Sabasaba sio mtaa wa Kongo au Karume...
 
Leo ndio umejua kama pale si kongo au karume ?
 
Reactions: SDG
Sorry. Hv maonesho yameshaanza?! Au ndiyo hadi july?!
 
Tusubiri labda hizo Trilioni 108 za Baric na Acacia zitakuja kuinua uchumi wa kila mwananchi. Nadhani hadi maonesho ya mwakani kila mtu atakuwa alishapewa milioni mbili zake hivyo tutakuja kununua. Vuteni subira! Tuna imani na Rais wetu
 
Hizo si ni za kununulia Noah ?
 
Eti mfanyabiashara wakati kila siku uko ufipa na jamiiforums....labda biashara ya utapeli wa kisiasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi unadhani utamkuta Bhakhresa kwenye Maduka yake ya Ice cream , au Umkute Mengi ofisi za nipashe ?
 
Siendi na sishiriki, its a waste of time kwa mazingira ya mdororo wa sasa
 
Hivi unadhani utamkuta Bhakhresa kwenye Maduka yake ya Ice cream , au Umkute Mengi ofisi za nipashe ?
Kwa hiyo wewe na Bakhresa na Mengi mko sawaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mbavu zangu jamani
 
Hapana, hii ni namna ya kuchuja vibaka, wavuta bangi, wakabaji na watu wengine wa aina hiyo.
 
Kipindi kigumu sana hiki si kwa watoto,vijana,wazee,waliojiajiri,waajiriwa.
Tufanye tu maonesho hamna namna.
 
Tusubiri labda hizo Trilioni 108 za Baric na Acacia zitakuja kuinua uchumi wa kila mwananchi. Nadhani hadi maonesho ya mwakani kila mtu atakuwa alishapewa milioni mbili zake hivyo tutakuja kununua. Vuteni subira! Tuna imani na Rais wetu
Hizo hela usishangae bajet ijayo ukaambiwa tumeshapewa na bajeti ya 2018/19 ikatekelezwa kwa 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…