Tetesi: Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( SABASABA ) kudorora tena kwa mara nyingine

M
Kwa kuzingatia uzoefu maonesho ya aina ile na maudhui Yake ni kuwa ilipaswa Watu wawe wanaingia bure ili mradi kunakuwa na umakini mkubwa ktk kuzingatia ulinzi na usalama Kwa ujumla wake ndivyo nchi nyingine kufanya, sasa haya ya hapa kwetu sijui Kwa nini wanataka Watu waingie Kwa kulipia ? Yani kwenda kuona bidhaa au huduma zinazozalishwa au kuuzwa na Watu au makampuni Mimi mwananchi nilipie? [emoji87][emoji87][emoji87] yani ni Kwa mfano Mtu anataka kuingia Kwenye Mall au supermarket halafu Kabla ya kuingia aambiwe lipa kwanza kiingilio kwa pesa ndo ukafanye window shopping au ukanunue unachotaka, je hiyo inaingia akilini? Binafsi naona siyo Sawa hata kidogo! Mwenye hoja tofauti aseme!
Maonesho kama neno linavyomaanisha ni watu waingie kuona, watapata taarifa za bidhaa... ubora, bei, matumizi, faida nk... biashara itaanza pale na hasa baadae... pale ni matangazo ya bidhaa... hali itakapokuwa nzuri bidhaa zitauzika tuu... sio lazima pale.... Sabasaba sio mtaa wa Kongo au Karume...
 
Leo ndio umejua kama pale si kongo au karume ?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yanaitwa Maonesho ya biashara , lakini ukweli ni kwamba pamoja na bidhaa kadhaa kuonyeshwa , Wafanyabiashara tumetumia nafasi hiyo kuuza , tena kwa mauzo ambayo huvunja rekodi .

Sasa kutokana na kwamba almost 85% ya wateja wetu ni hawa wananchi wa kawaida ambao wamepigika vibaya sana kiasi cha kushindwa hata kumudu milo mitatu , basi tutegemee maumivu.

Sababu za kupigika kwa wananchi wa Tanzania zinafahamika .

Nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wafanyabiashara wenzangu kwamba MAONESHO YA MWAKA HUU NI MAONESHO KWELI , NA WALA SI MAUZO TENA KAMA MLIVYOZOEA
Sorry. Hv maonesho yameshaanza?! Au ndiyo hadi july?!
 
Tusubiri labda hizo Trilioni 108 za Baric na Acacia zitakuja kuinua uchumi wa kila mwananchi. Nadhani hadi maonesho ya mwakani kila mtu atakuwa alishapewa milioni mbili zake hivyo tutakuja kununua. Vuteni subira! Tuna imani na Rais wetu
 
Hizo si ni za kununulia Noah ?
 
Yanaitwa Maonesho ya biashara , lakini ukweli ni kwamba pamoja na bidhaa kadhaa kuonyeshwa , Wafanyabiashara tumetumia nafasi hiyo kuuza , tena kwa mauzo ambayo huvunja rekodi .

Sasa kutokana na kwamba almost 85% ya wateja wetu ni hawa wananchi wa kawaida ambao wamepigika vibaya sana kiasi cha kushindwa hata kumudu milo mitatu , basi tutegemee maumivu.

Sababu za kupigika kwa wananchi wa Tanzania zinafahamika .

Nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wafanyabiashara wenzangu kwamba MAONESHO YA MWAKA HUU NI MAONESHO KWELI , NA WALA SI MAUZO TENA KAMA MLIVYOZOEA
Eti mfanyabiashara wakati kila siku uko ufipa na jamiiforums....labda biashara ya utapeli wa kisiasa😀😀😀
 
Hivi unadhani utamkuta Bhakhresa kwenye Maduka yake ya Ice cream , au Umkute Mengi ofisi za nipashe ?
 
Siendi na sishiriki, its a waste of time kwa mazingira ya mdororo wa sasa
 
Kwa kuzingatia uzoefu maonesho ya aina ile na maudhui Yake ni kuwa ilipaswa Watu wawe wanaingia bure ili mradi kunakuwa na umakini mkubwa ktk kuzingatia ulinzi na usalama Kwa ujumla wake ndivyo nchi nyingine kufanya, sasa haya ya hapa kwetu sijui Kwa nini wanataka Watu waingie Kwa kulipia ? Yani kwenda kuona bidhaa au huduma zinazozalishwa au kuuzwa na Watu au makampuni Mimi mwananchi nilipie? [emoji87][emoji87][emoji87] yani ni Kwa mfano Mtu anataka kuingia Kwenye Mall au supermarket halafu Kabla ya kuingia aambiwe lipa kwanza kiingilio kwa pesa ndo ukafanye window shopping au ukanunue unachotaka, je hiyo inaingia akilini? Binafsi naona siyo Sawa hata kidogo! Mwenye hoja tofauti aseme!
Hapana, hii ni namna ya kuchuja vibaka, wavuta bangi, wakabaji na watu wengine wa aina hiyo.
 
Kipindi kigumu sana hiki si kwa watoto,vijana,wazee,waliojiajiri,waajiriwa.
Tufanye tu maonesho hamna namna.
 
Tusubiri labda hizo Trilioni 108 za Baric na Acacia zitakuja kuinua uchumi wa kila mwananchi. Nadhani hadi maonesho ya mwakani kila mtu atakuwa alishapewa milioni mbili zake hivyo tutakuja kununua. Vuteni subira! Tuna imani na Rais wetu
Hizo hela usishangae bajet ijayo ukaambiwa tumeshapewa na bajeti ya 2018/19 ikatekelezwa kwa 10%
 
Back
Top Bottom