Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya hakijasikia, kinaendaa badae kinarudi na tray kinakudondoshea karatasi ya njano ina namba.
Mwisho: Magufuli alitujengea reli ili kurahisisha usafiri, tuheshimu hilo, ukahaba upigwe marufuku, watoa huduma wavae nguo za staha, ifike mahali kuwe na mstari kati ya kahaba na mtoa huduma wa SGR.
Mwanza haijafika, mama yenu kashindwa.Achana na hayo mimi labda mniambie nauli ya dar to mwanza ni sh ngapi.
Utakuwa na shida mkuuMimi ni mtumiaji mzuri wa hizo treni.Sijawahi kushuhudia uyasemayo, sometimes safari nzima hata sija notice hao wadada.
Wewe ni pervert, kila ukionamwanamke au msichana unawaza ngono tu.
HahahaaJamuhuri inaelewa wabongo mnapenda Nini😁,
route inapga kutoka wapi hadi wapi na kwa shs ngapi plzMwanza haijafika, mama yenu kashindwa.
mkuu inapga route za dar kwenda wapi na hadi wapi na nauli yake tafadhali. Au hata kama unajua naul ya train ya kawaida niambieMimi ni mtumiaji mzuri wa hizo treni.Sijawahi kushuhudia uyasemayo, sometimes safari nzima hata sija notice hao wadada.
Wewe ni pervert, kila ukionamwanamke au msichana unawaza ngono tu.
Dar-Moro Tzs 13,500mkuu inapga route za dar kwenda wapi na hadi wapi na nauli yake tafadhali. Au hata kama unajua naul ya train ya kawaida niambie
Wapo wanaume pia.Wangeweka na vijana wa kiume masharobaro wasafi na sio wanawake pekee tu
Ngoja nijitathmini.Utakuwa na shida mkuu
Ingia ktk website yao nauli zipo na unaweza kukata ticket onlinemkuu inapga route za dar kwenda wapi na hadi wapi na nauli yake tafadhali. Au hata kama unajua naul ya train ya kawaida niambie
Wanajua vinajana wao wanapenda Nini,Hahahaa