Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Mmh wewe tu uhamishaji wako mawazo, lala basi usisumbue nafsi
asante mkuu ila mambo ya kukata tiketi online ndo sitawaifanya nione chombo ndo nikate nikiwa huko huko coz sitaki nirudi kulalamika ati wamekula nauli yangu na tren imeniacha. Mim hata bus lazma nilione kwanzaIngia ktk website yao nauli zipo na unaweza kukata ticket online
Mbona wapo mixer mkuu.Wangeweka na vijana wa kiume masharobaro wasafi na sio wanawake pekee tu
asante mkuu ila mambo ya kukata tiketi online ndo sitawaifanya nione chombo ndo nikate nikiwa huko huko coz sitaki nirudi kulalamika ati wamekula nauli yangu na tren imeniacha. Mim hata bus lazma nilione kwanzaIngia ktk website yao nauli zipo na unaweza kukata ticket online
Mkuu unaishi zama zipi? Ticket online ni uhakika mambo ya hadi uone chombo ni analojia. Unaweza kwenda hadi station ukaambiwa imejaa na weekend Dom - Dar inajaa kufuru.asante mkuu ila mambo ya kukata tiketi online ndo sitawaifanya nione chombo ndo nikate nikiwa huko huko coz sitaki nirudi kulalamika ati wamekula nauli yangu na tren imeniacha. Mim hata bus lazma nilione kwanza
Kwahiiyo, shida yako ni "kuumbika" basi tutaweka "wachagga" waliopigwa pasi, ili msiwake tamaa!Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya hakijasikia, kinaendaa badae kinarudi na tray kinakudondoshea karatasi ya njano ina namba.
Mwisho: Magufuli alitujengea reli ili kurahisisha usafiri, tuheshimu hilo, ukahaba upigwe marufuku, watoa huduma wavae nguo za staha, ifike mahali kuwe na mstari kati ya kahaba na mtoa huduma wa SGR.
Libido yako ipo negative.Vizuri kwamba hata mada yako inasema haya ni maoni binafsi,mtazamo wako wewe nwenyewe.Sisi wengine tunaona hao wadada wanafanya kazi yao tu ,hakuna tatizo.
mnaenjoy kuona mapaja yao sioVizuri kwamba hata mada yako inasema haya ni maoni binafsi,mtazamo wako wewe nwenyewe.Sisi wengine tunaona hao wadada wanafanya kazi yao tu ,hakuna tatizo.
Mara 1 mkuuWameshakudondoshea karatasi zenye namba zao mara ngapi?
hujakutana na nyuzi za malalamiko humu za watu kuachawa na usafiri bro na ndio hao hao wa ticket online. Piga ua oline siwez chezea pesa zangu ni bora nisisafiri kabsaaMkuu unaishi zama zipi? Ticket online ni uhakika mambo ya hadi uone chombo ni analojia. Unaweza kwenda hadi station ukaambiwa imejaa na weekend Dom - Dar inajaa kufuru.
Uzuri havikatai, ukiomba namba fasta unakeletewa kwenye kikaratasi kizuri cha njano kwenye tray.Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya hakijasikia, kinaendaa badae kinarudi na tray kinakudondoshea karatasi ya njano ina namba.
Mwisho: Magufuli alitujengea reli ili kurahisisha usafiri, tuheshimu hilo, ukahaba upigwe marufuku, watoa huduma wavae nguo za staha, ifike mahali kuwe na mstari kati ya kahaba na mtoa huduma wa SGR.
Huyu hata kuku anaweza kubaka mana kuku havai nguo.Mimi ni mtumiaji mzuri wa hizo treni.Sijawahi kushuhudia uyasemayo, sometimes safari nzima hata sija notice hao wadada.
Wewe ni pervert, kila ukionamwanamke au msichana unawaza ngono tu.
Hizo uniforms zao ni kama za wadada wa kwenye ndege tu, hazina shida.Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya hakijasikia, kinaendaa badae kinarudi na tray kinakudondoshea karatasi ya njano ina namba.
Mwisho: Magufuli alitujengea reli ili kurahisisha usafiri, tuheshimu hilo, ukahaba upigwe marufuku, watoa huduma wavae nguo za staha, ifike mahali kuwe na mstari kati ya kahaba na mtoa huduma wa SGR.
Ya nani mkuu
Ya hao wahudumu wa kike...Ya nani mkuu
Jamaa Muongo bhana.Mimi ni mtumiaji mzuri wa hizo treni.Sijawahi kushuhudia uyasemayo, sometimes safari nzima hata sija notice hao wadada.
Wewe ni pervert, kila ukionamwanamke au msichana unawaza ngono tu.