Maoni binafsi: Serikali Inachochea Biashara ya Ukahaba kwenye Treni za SGR

Maoni binafsi: Serikali Inachochea Biashara ya Ukahaba kwenye Treni za SGR

asante mkuu ila mambo ya kukata tiketi online ndo sitawaifanya nione chombo ndo nikate nikiwa huko huko coz sitaki nirudi kulalamika ati wamekula nauli yangu na tren imeniacha. Mim hata bus lazma nilione kwanza
Mkuu kwa hali hiyo hutopanda SGR kamwe, sababu siku moja kabla ni hupati tiketi, labda ufosi bizness
 
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.

Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.

Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya hakijasikia, kinaendaa badae kinarudi na tray kinakudondoshea karatasi ya njano ina namba.

Mwisho: Magufuli alitujengea reli ili kurahisisha usafiri, tuheshimu hilo, ukahaba upigwe marufuku, watoa huduma wavae nguo za staha, ifike mahali kuwe na mstari kati ya kahaba na mtoa huduma wa SGR.
acha kuwaza uzinz mkuu hutaona shida
 
Back
Top Bottom