Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao.
Pili, mama ni mtata, yaani wale wanawake ambao mkigombana au mkiachana anaamua kukupiga na kombora moja kuwa mtoto sio wako.
Hapo Mungu pia huonesha ufundi wake kwa kumfananisha mtoto na baba ili mama awe mpole tu.
Kinyume cha hapo mtoto sio wako umepigwa