Baba zenu watata ndio maanaMmh mimi nimefanana na baba karibia kila kitu sura ndo zaidi na vidole vyote lakini hizi tabia ulizotaja hapo hawajawai kuwa nazo kwa sababu nimezaliwa ndani ya ndoa takatifu.
Mimi kwa mtazamo wangu kufanana ni damu kuwa kali kwa sabab karibia familia yote tunafanana hata baba na ndugu zake wa familia moja wanafanana sana hata sisi watoto wao tunafanana ukitukuta tumekaa pamoja huwez kuuliza kama sisi ni ndugu kwa sababu vile tunafanana jibu utakuwa nalo.
KabisaaKwahyo unashauri tukatae mimba ili kuthibitisha ?
Pamoja kiongoziKabisaa
Biology ndio inaumba mtuMshaanza kuleta kiswahili kwenye biology