Kwa hiyo, serikali huwa inaajili waliopata division zero? Au kufeli mana yake nini? Muwe na shukurani na serikali yenu. Imejitahidi kuwafikisha hapo kwa waalimu makini lakini lawama kibao. Kweli binadamu hana wema. Mnataka mpewe gunia la ma...
Nahurumia shingo yako
 
Kumbe ilikuwa ni hii mbuzi
 
We jamaa akili zako haziko sawa.Regulator WA uwezo WA Walimu ni NECTA NA NACTE .Vyombo viwili hivyo havikuweza? Au mwajiri haviamini?Huko KUNA rushwa? Acha kuchanganya Siasa na mambo yanayohitaji utaalam.Interview zinazofanyika Kwa Walimu WA private schools ni mbinu ya mchujo kukwepa lawama!.Taaluma itapanda Kwa kujali maslahi ya Walimu. Yaani Kuboresha mishahara na maslahi ya Walimu na sio kutoa interview.Mwalimu aliyeandaliwa vizuri Kwa uhakika hahitaji interview ili aajiriwe.Msifanye kada ya ualimu kama sehemu ya kujipatia umaarufu! I hate!!
 
Nashukuru miaka ya mbeleni kuna dalili za kupata walimu waliokuwa nondo darasani maana ukienda primary kama una degree walimu wanakushangaa balaaa......
Mwalimu WA degree hajaandaliwa kufundisha watoto WA primary hata hayo ni maigizo.Mtamtafuta mchawi WA Elimu hamtampata!
 
Wakuu, Kuna vibiashara vya mikopo ya vyombo member mmoja kanidokezea kuwa hawa watu huwa wanasambaza vyombo Kwa mkopo mashuleni, wanakuja na kagari asili ya tax au noah imejaa vyombo mhindi akishuka kwenye gari anasema nakopesha walimu tuu, tena wanapigwa Kwa bei kubwa kisenge

Why walimu nasio madaktar, polisi, benk nk maana huko nako Kuna vituo vya kazi, kwanini mwalimu ndowakupewa promotion kila taasisi inayotafutiza fursa
 
Acha umbumbumbu hakuna ruhusa kufanya biashara katika ofisi za hospitali na Ulinzi ni mkali sana.Yaani ni marufuku.ila mwanzo hadi wauza mitumba walikuwa wanaingia.
Fika kota za Madaktari utawaona wakopeshaji wa kila aina wamejaa tele.
 
Acha umbumbumbu hakuna ruhusa kufanya biashara katika ofisi za hospitali na Ulinzi ni mkali sana.Yaani ni marufuku.ila mwanzo hadi wauza mitumba walikuwa wanaingia.
Fika kota za Madaktari utawaona wakopeshaji wa kila aina wamejaa tele.
Ila Kwa walimu ni lango lililowazi hata mbwa huingia kubweka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…