Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #321
Mwalimu ana maisha magumu sana, mkulima akipata gunia mia za ufuta sio mwenzakoHahaaa nchi hii inavituko ,ivi kati ya mpiga dabe,mbeba mzigo,muuza maji,karanga,mkulima ni nani wa kumuonea huruma ukimlinganisha na mwalimu
Hao wote wanaeleweka sasa nyie mnajua kabisa ualimu ni majaribu halafu mnasomeaHahaaa nchi hii inavituko ,ivi kati ya mpiga dabe,mbeba mzigo,muuza maji,karanga,mkulima ni nani wa kumuonea huruma ukimlinganisha na mwalimu
Kama wewe ilivyo,ticha kondeYani walimu bhana wana hali ngumu sana
Mwalimu anamjua mwalimu mwenzieMwalimu ana maisha magumu sana, mkulima akipata gunia mia za ufuta sio mwenzako
Walikukosea nn,walikumbetoa dem nnDah ila walimu ni wasng sn kwakwl
Kuwalinganisha na naniWalimu wana hali mbaya, huu ni ukweli mchungu!
Acha fix nchi hii ni wakulima wangapi wenye angalau nyumba nzuri ,tatizo hapa Jf kila mtu anajifanya yuko safi kuliko mwalimu but wengi wenu hata kibarua cha kuingiza laki mbili kwa mwezi hamnaMwalimu ana maisha magumu sana, mkulima akipata gunia mia za ufuta sio mwenzako
Wakinyee Wapi, mamebaki na mavuzi tuWaulize walimu kile kibunda cha sensa bado wanacho[emoji38][emoji38] jokes
[emoji38][emoji38]Wakinyee Wapi, mamebaki na mavuzi tu
Nyie mafala sanaHatujambo shikamoo.
Sawa Ticha naona unajipa ushauri mwenyeweNawasalimia tu ila nataka niwaambie machache
Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana
Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana
Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa
Acheni kukopa mnatia aibu
Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe
Pendaneni
Tafuteni kazi nje ya mshahara
Ushauri wangu ni huo tu
Sawa Ticha naona unajipa ushaNawasalimia tu ila nataka niwaambie machache
Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana
Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana
Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa
Acheni kukopa mnatia aibu
Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe
Pendaneni
Tafuteni kazi nje ya mshahara
Ushauri wangu ni huo tu
Wewe mwalimu mpwayungu una nini tofauti na mbupu?Wakinyee Wapi, mamebaki na mavuzi tu