Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Mwalimu ana maisha magumu sana, mkulima akipata gunia mia za ufuta sio mwenzako
Acha fix nchi hii ni wakulima wangapi wenye angalau nyumba nzuri ,tatizo hapa Jf kila mtu anajifanya yuko safi kuliko mwalimu but wengi wenu hata kibarua cha kuingiza laki mbili kwa mwezi hamna
 
Nawasalimia tu ila nataka niwaambie machache

Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana

Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana

Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa

Acheni kukopa mnatia aibu

Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe

Pendaneni

Tafuteni kazi nje ya mshahara

Ushauri wangu ni huo tu
 
Sawa Ticha naona unajipa ushauri mwenyewe
 
Nawasalimia tu ila nataka niwaambie machache

Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana

Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana

Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa

Acheni kukopa mnatia aibu

Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe

Pendaneni

Tafuteni kazi nje ya mshahara

Ushauri wangu ni huo tu
Sawa Ticha naona unajipa usha
 
Back
Top Bottom