Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #321
Mwalimu ana maisha magumu sana, mkulima akipata gunia mia za ufuta sio mwenzakoHahaaa nchi hii inavituko ,ivi kati ya mpiga dabe,mbeba mzigo,muuza maji,karanga,mkulima ni nani wa kumuonea huruma ukimlinganisha na mwalimu