Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hili shoga Mpwayungu Village limekariri Walimu wanalipwa laki 3, Mwalimu wa Eritrea au nchi gani hiyo? Hata kama ingekuwa ni laki 1.5 bado heshimu kile anachokipokea mtu;maana kuna Watendaji wa Vijiji wanapokea kiasi pungufu ya kile wanapokea Walimu na bado wanafanyakazi na wanakwambia hawawezi kuacha kazi hiyo hata kama wangekuwa wanalipwa sh.70,000/= kwa mwezi.
Halafu we pimbi usifikiri kila anayejiajiri automatically anatoboa, bado wapo wengi wanafeli na wanatamani hata hicho kiduchu anachopokea Mwalimu. Usidanganye watu hapa kwamba kila kujiajiri kunahit; wapo niliowaona wakijiajiri na kweli wakatusua, na wapo waliojiajiri na bado mambo yao yako hovyo.