Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Ipo hivi, kama utaendelea kuajiriwa lakini tangu uajiriwe mpaka sasa hivi hakuna hatua yoyote ya kimaendeleo uliyofanya zaidi ya kuburuzwa tu na mkurugenzi wako, mkuu wako, aisee nakushauri acha hiyo kazi fanya mambo mengine

Juzi nilitoa mfano wa mwalimu aliyeomba uhamisho akafanyie kazi kwao baada ya kugomewa akaandika notice ya kuacha kazi Kwa mwajiri ameenda kujitafuta sehemu nyingine, wapo wapuuzi watakuja kusema eti atajuta jua litakapoanza kumponda hajui walimu wanapondeka kuliko mateja wanaookota makopo

Dunia ya sasa unakubalije kufanya kazi ya laki Tatu? Hivi walimu mnajitambua kweli? Naona hampo Sawa mentally. Ngoja niwaambie kitu : mkitaka mapinduzi ya maslahi yenu lazima mkubali maumivu namaanisha mkiandamana Kuna watu mtakosa kazi, wengine mtabambikiziwa kesi and the rest mtapewa haki zenu believe me

Walimu mnadharaulika Kwa sababu nyie hamjitambui ni mioga mnoooo, yani ukikoromewa tu mpaka kamasi linakutoka unaona kama ukitoka kwenye ualimu hakuna kazi nyingine utaenda fanya. Ebu jitambueni acheni kujirahisisha na kutumiwa hovyo na wanasiasa Kwa ucheap wenu. Nimesema mpaka nimechoka ila mnaboa for sure

BORA kafanye kazi zako za kujiajiri hata upate elfu tano Kwa siku ila ukawa huru kuliko mnaburuzwa mpaka na Wenyeviti wa vitongoji after then malipo yake ni vichekesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1691175702640.jpg
 
Najua watakuja wazee wa black board ila nawapa onyo mkijileta nitawapa za uso mpaka mtaona nyota nyota

Ipo hivi, kama utaendelea kuajiriwa lakini tangu uajiriwe mpaka sasa hivi hakuna hatua yoyote ya kimaendeleo uliyofanya zaidi ya kuburuzwa tu na mkurugenzi wako, mkuu wako, ahsee nakushauri acha hiyo kazi fanya mambo mengine

Juzi nilitoa mfano wa mwalimu aliyeomba uhamisho akafanyie kazi kwao baada ya kugomewa akaandika notice ya kuacha kazi Kwa mwajiri ameenda kujitafuta sehemu nyingine, wapo wapuuzi watakuja kusema eti atajuta jua litakapoanza kumponda hajui walimu wanapondeka kuliko mateja wanaookota makopo

Dunia ya sasa unakubalije kufanya kazi ya laki Tatu??? Hivi walimu mnajitambua kweli? Naona hampo Sawa mentally. Ngoja niwaambie kitu : mkitaka mapinduzi ya maslahi yenu lazima mkubali maumivu namaanisha mkiandamana Kuna watu mtakosa kazi, wengine mtabambikiziwa kesi and the rest mtapewa haki zenu believe me

Walimu mnadharaulika Kwa sababu nyie hamjitambui ni mioga mnoooo, yani ukikoromewa tu mpaka kamasi linakutoka unaona kama ukitoka kwenye ualimu hakuna kazi nyingine utaenda fanya. Ebu jitambueni acheni kujirahisisha na kutumiwa hovyo na wanasiasa Kwa ucheap wenu. Nimesema mpaka nimechoka ila mnaboa for sure

BORA kafanye kazi zako za kujiajiri hata upate elfu tano Kwa siku ila ukawa huru kuliko mnaburuzwa mpaka na Wenyeviti wa vitongoji after then malipo yake ni vichekesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2709422
Hivi hawa walimu wanaolipwa laki 3 ni wa nchi gani mkuu.

Nina marafiki wengi walimu sijaona anayelipwa laki 3.

NB.
FANYA UTAFITI WA KINA BILA HARAKA UPATE MISHAHARA YA WAFANYAKAZI HAWA KWA NGAZI YA

CHETI
DPLM
DEGREE

Ndiyo utajuwa vitu unavyoandika kuhusu walimu vingi ni vya uongo.

Mishahara ya

Walimu
Nesi
wanasheria
secretary
Watendaji
mahakimu
Waganga hospital

TAFUTA SECTA KAMA 10 TOFAUTI HLF UJE NA VIWANGO VYA MISHAHARA YAO.

Kitu nilichogundua IDARA YA ELIMU walimu hawana pesa nyingine yoyote ya kuingiza zaidi ya mshahara na wateja wao wanafunzi hawana pesa.

Hali hii ndiyo huwafanya wasikae na pesa.

Lakini idara nyingine anaweza kuwa takehome ndogo au sawa na walimu ila akawa na maokoto mengi.
 
Shida Hawana posho Wala pakupiga
 
Back
Top Bottom