Mkuu jitokeze hadharani urudie maneno hayo ikikupendeza karibia eneo la military base tamka neno kwa neno kama ulivoandika hapo juu ili wakuprovie ushenzi waoUalimu na uanqjeshi ni kazi moja tu wpte washenzi tu tena bora ya waalimu kuliko wanqjeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jitokeze hadharani urudie maneno hayo ikikupendeza karibia eneo la military base tamka neno kwa neno kama ulivoandika hapo juu ili wakuprovie ushenzi waoUalimu na uanqjeshi ni kazi moja tu wpte washenzi tu tena bora ya waalimu kuliko wanqjeshi
We mbwa, bila mwalimu ungeweza kuyaandika haya uliyoyaandika?Ni kweli kuwa jobless inauma ila inauma zaidi ukiwa kwenye sehemu ya utumwa maana watumwa wote ni waoga hakuna wa kufanya mageuzi hata kidogo
Mtumwa mwenzao tu mwenye cheo kidogo anawaendesha balaaa Kwa posho ya 250000 je wenye VX sindokabisa wanakimbizana kutafuta vipindi ili waingie hata kama hawana
Hili ni likazi lakitumwa kuliko kazi zozote zile Duniani, ni kazi za wasio na akili Sasa utajua hii ni kazi gani wanafanya wasio na akili waliofeli. Ni kazi ambayo sikuwa kuona mfanyakazi yoyote afanye recategorization ahamie huku maana inakimbiwa na kila mtu View attachment 2713817
Akili zako ndozimelalia hapo badala ujenge hoja wewe unatukanaUalimu kweli una maslahi madogo
Lakini huwezi kufabanisha na kuwa jobless
Pesa kuanzia 300k Hadi 1M sio nyingi kwa mwezi ila watu maisha yao yanaenda na hata wewe shoga maarufu JF umeishi kwa maisha hayo.
Halafu mbona unakuwa Malaya malaya, maisha ya walimu waachie walimu wenyewe.
Bila Shaka utakuwa XXXXY ndio maana unatuletea shida hapa.
[emoji23]Ualimu kweli una maslahi madogo
Lakini huwezi kufabanisha na kuwa jobless
Pesa kuanzia 300k Hadi 1M sio nyingi kwa mwezi ila watu maisha yao yanaenda na hata wewe shoga maarufu JF umeishi kwa maisha hayo.
Halafu mbona unakuwa Malaya malaya, maisha ya walimu waachie walimu wenyewe.
Bila Shaka utakuwa XXXXY ndio maana unatuletea shida hapa.
Keaho naenDa lugaloMkuu jitokeze hadharani urudie maneno hayo ikikupendeza karibia eneo la military base tamka neno kwa neno kama ulivoandika hapo juu ili wakuprovie ushenzi wao
Nampa ONYO vinginevyo nitataja kila kituWalimu mnalalamika Sana kiukweli .
Aliyewaambia ni uhamisho wa kubadilishana kakudanganya, hawa walimu wameletewa barua ya kuhama waende kituo kingine, sasa wamebadilishana na kunguni wako auHao walimu wamebadilishana vituo kwa iyari yao, serikali haihusiki
Tahila wewe, unafikili mm nipo kwenye upumbavu kama huu
mwalimu anatolewa mbagala rangi tatu anapelekwa mbagala charambe anataka ela ya uhamisho? huo ni wiziAliyewaambia ni uhamisho wa kubadilishana kakudanganya, hawa walimu wameletewa barua ya kuhama waende kituo kingine, sasa wamebadilishana na kunguni wako au
Mimi sijaajiliwa na mtu yoyote yule Sasa atanifukuza kwenye kazi yangu niliyojiajiri?? Halafu mm huwa simwogopi binadamu yoyote yule aliyezaliwa na mwanamke. Kama hao walimu walitakiwa kufukuzwa kazi Kwa makosa yaliyojificha ila kawalinda basi amekosea maana hata huko walipokwenda hawajawa walinzi Bali ni walimuNdugu yangu kata huyo hiyo ....unataka pesa za uhamisho...? Ndugu mwalimu huyo boss wako ukimuanika utajuta hujui awezi kufanya aliyo yafanya Kwa watu kumi harafu asiwe na uhakika wa alicho kifanya.
Unaweza kutuambia hao walimu ni kwanini wameamishwa...? Isije ikawa hata kuwaamisha amewalindia vibarua vyao pengine walifaa wafutwe kazi warudi wakalime...!
Ebu kasome circumstance zinazofanya mwalimu apewe transfer allowance afu uzilete humu.mwalimu anatolewa mbagala rangi tatu anapelekwa mbagala charambe anataka ela ya uhamisho? huo ni wizi