Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hivi sio Don namilison huyu. Maana kapotea yule jamaa. Don alifungwa kipindi cha JPM .Huyo ni reject,system ilimtema,hivyo ana bifu na Serikali na walimu
Tuunganishe code huenda akawa Don.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sio Don namilison huyu. Maana kapotea yule jamaa. Don alifungwa kipindi cha JPM .Huyo ni reject,system ilimtema,hivyo ana bifu na Serikali na walimu
Hivi sio Don namilison huyu. Maana kapotea yule jamaa. Don alifungwa kipindi cha JPM .
Tuunganishe code huenda akawa Don.
Don mbona hana update yoyote. Anaweza akawa ndio huyu mpwayungu.Don alishaachiwa,akatoa albamu,na akawa na mpango wa kwenda kumuoa mtoto wa Obama
Mpwayungu Village ni mental case
AhaaahasaDon mbona hana update yoyote. Anaweza akawa ndio huyu mpwayungu.
Zile pisi za Obama saa hizi ndo ziko sawa mshindindi wa kutosha Don kachelewa wazungu washazibeba.
Bora tusuluhishane humu humu!!Mkuu si umeshauriwa ukakae na waalimu meza Moja mkamalize tofauti zenu jamani!
Nikae na hawa chimpanzee??[emoji23][emoji23]ni muda muafaka sasa wa kukaa na walimu mmalize tofauti zenu maan unawasimanga mno Mpwayungu Village
Hivi hawa walimu wanaolipwa laki 3 ni wa nchi gani mkuu.Najua watakuja wazee wa black board ila nawapa onyo mkijileta nitawapa za uso mpaka mtaona nyota nyota
Ipo hivi, kama utaendelea kuajiriwa lakini tangu uajiriwe mpaka sasa hivi hakuna hatua yoyote ya kimaendeleo uliyofanya zaidi ya kuburuzwa tu na mkurugenzi wako, mkuu wako, ahsee nakushauri acha hiyo kazi fanya mambo mengine
Juzi nilitoa mfano wa mwalimu aliyeomba uhamisho akafanyie kazi kwao baada ya kugomewa akaandika notice ya kuacha kazi Kwa mwajiri ameenda kujitafuta sehemu nyingine, wapo wapuuzi watakuja kusema eti atajuta jua litakapoanza kumponda hajui walimu wanapondeka kuliko mateja wanaookota makopo
Dunia ya sasa unakubalije kufanya kazi ya laki Tatu??? Hivi walimu mnajitambua kweli? Naona hampo Sawa mentally. Ngoja niwaambie kitu : mkitaka mapinduzi ya maslahi yenu lazima mkubali maumivu namaanisha mkiandamana Kuna watu mtakosa kazi, wengine mtabambikiziwa kesi and the rest mtapewa haki zenu believe me
Walimu mnadharaulika Kwa sababu nyie hamjitambui ni mioga mnoooo, yani ukikoromewa tu mpaka kamasi linakutoka unaona kama ukitoka kwenye ualimu hakuna kazi nyingine utaenda fanya. Ebu jitambueni acheni kujirahisisha na kutumiwa hovyo na wanasiasa Kwa ucheap wenu. Nimesema mpaka nimechoka ila mnaboa for sure
BORA kafanye kazi zako za kujiajiri hata upate elfu tano Kwa siku ila ukawa huru kuliko mnaburuzwa mpaka na Wenyeviti wa vitongoji after then malipo yake ni vichekesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2709422
Ipo hivyo! Kama utaona kula na kulala ndomaisha basi upo sehemu sahihiHuo ndio ukweli,utumishi hasa tamisemi ni kupoteza muda kama huna harakati nyingine za kusaka pesa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaniiii hadi aibuYaani katika mwaka wenye siku 365 we unapata hela siku 12 tuu
Bora nyinyi kuliko walimu ahseeMpwayungu Village kwenye ubora wako, siku nyingine uwe unatusemea na sisi tuliojiliwa kufanya usafi wa mitaa, usiishie kuwasema ndugu zako walimu pekee
Shida Hawana posho Wala pakupigaHivi hawa walimu wanaolipwa laki 3 ni wa nchi gani mkuu.
Nina marafiki wengi walimu sijaona anayelipwa laki 3.
NB.
FANYA UTAFITI WA KINA BILA HARAKA UPATE MISHAHARA YA WAFANYAKAZI HAWA KWA NGAZI YA
CHETI
DPLM
DEGREE
Ndiyo utajuwa vitu unavyoandika kuhusu walimu vingi ni vya uongo.
Mishahara ya
Walimu
Nesi
wanasheria
secretary
Watendaji
mahakimu
Waganga hospital
TAFUTA SECTA KAMA 10 TOFAUTI HLF UJE NA VIWANGO VYA MISHAHARA YAO.
Kitu nilichogundua IDARA YA ELIMU walimu hawana pesa nyingine yoyote ya kuingiza zaidi ya mshahara na wateja wao wanafunzi hawana pesa.
Hali hii ndiyo huwafanya wasikae na pesa.
Lakini idara nyingine anaweza kuwa takehome ndogo au sawa na walimu ila akawa na maokoto mengi.