kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Kwa sasa?? Tusizungumzie miaka 30 mbele100 inafika mkuu
Tuzungumzie walimu waliofanya kazi miaka 30 iliyopita au wanaostaafu sasa
Inafika hiyo pesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa?? Tusizungumzie miaka 30 mbele100 inafika mkuu
Du nikajua teacherMi sio teacher kamanda..mi muhangaikaji tu ila hawa maticha tuko nao sana tuu mtaani
Nimesikia Kwa sasa wanapata hiyo 100 ila 33% ndo unapewa Kwa mkupuo na hiyo 67% unapewa kama monthly salaryKwa sasa?? Tusizungumzie miaka 30 mbele
Tuzungumzie walimu waliofanya kazi miaka 30 iliyopita au wanaostaafu sasa
Inafika hiyo pesa?
Kama una mazingira comfortable ya makazi na chakula unapata, relax kisha brain storm mkuu.Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu [emoji24][emoji24][emoji24] usiombe najuta hata kusoma
Na kikokotoo hiki mmmmh acha tu ndg,kuna sister angu alikua HT amestaafu January kafanikiwa kujenga kijumba kimoja kaanzisha kingine kimeishia lenta kucheki Ballance inasoma amna habari ndo imeishia hapo anakula kapensheni kake kama 400k flanKwa sasa?? Tusizungumzie miaka 30 mbele
Tuzungumzie walimu waliofanya kazi miaka 30 iliyopita au wanaostaafu sasa
Inafika hiyo pesa?
Vp wa degree?Katika jambo nalowaambia watumishi walioajiriwa na certificate na diploma ya ualimu ni kwamba "Ualimu sio ajira ni pakutafitia cheki namba, nenda kasome course nyengine chuo"
#YNWA
Hapana hapana..mi mpambanaji tu mtaaniDu nikajua teacher
SawaHapana hapana..mi mpambanaji tu mtaani
Mkuu hapa hatubishani hivyo tuongee uhalisiaHuwez pia kutamn kuwa DED au RC kama ushafanikiwa.
Unafanya mishe gani hivi sasa inayokuingizia kipato?, nichek pm Kuna jambo tujadili.Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu [emoji24][emoji24][emoji24] usiombe najuta hata kusoma
Anaweza kukaa porini? Asimamie vibarua?nimeona post zako nyingi hapa jf, hakika ningekua na uwezo ningekusaidia kupata kazi.
wakulungwa msaidieni huyu madam apate riziki sehemu
Nakubali. Usifanye kaz kwa wito, fanya kaz kwa maslahi chief.Mkuu hapa hatubishani hivyo tuongee uhalisia
Mtu anaweza akawa ana uhakika kila mwisho wa mwezi miradi yake inamuingizia kuanzia 10M kwenda mbele ila akichaguliwa kuwa RC atakubali tu
Ila mtu akiwa na uhakika wa kuingiza 2M kila mwezi kwenye miradi yake hawezi kuhangaika na na vichenji vya ualimu
Kumbuka sababu za kukataa ualimu zipo nyingi
1. Dharau
2. Mazingira duni
3. Kazi ngumu
4. Mazingira ya kazi duni hasa vijijini
5. Huduma za jamii duni hasa vijijini (kumbuka walimu wengi wanafanya kazi vijijini kuliko mijini)
6. Hakuna allowance yoyote labda kuwakaza wanafunzi 😃😃
7. Asilimia zaidi ya 95 ya walimu hawaipendi kazi ya ualimu isipokuwa mazingira tu (umaskini) yanalazimisha watu wasomee ualimu
NB: Ninavyouzungumzia ualimu nazungumzia kwa experience maana mimi mwenyewe ni mwalimu na inafundishwa mpaka sasa japo nafundisha kwenye tuition centre tu sio shule.
ila nina ndoto ya kuacha kufundisha any time mipango yangu ikienda vizuri.
Kuna mwalimu asiyechini ya halmashauri?Tuongee ukweli WALIMU WALIOCHINI YA HALMASHAURI WATAENDESHWA MPAKA MWISHO WA DUNIA.
#YNWA
Porini wapi mkuuAnaweza kukaa porini? Asimamie vibarua?
Njoo pm tuzungumzePorini wapi mkuu
ngoja aje, possibly anawezaAnaweza kukaa porini? Asimamie vibarua?
Umeongea ukweli. Hakika Ualimu sio kazi ya kufanya, imejaa umaskini na UNYONGE mwingi.Hii kazi niyakipweke sana, unakuwa mnyonge popote ulipo maana huna nguvu ya pesa kwahiyo huwez kufanya chochote kwenye watu wengi. Hii kazi inahitaji moyo wa chuma
Haina allowance yoyote ileeee, hata kuhama tu ni bure ukibahatika kupewa pesa basi ni laki tano au million moja. Walimu wanaishi ili wasife tu ila hawana future yoyote ileeee
Poleni sana walimu
Unahitamani kwa sababu ya umaskini wako na kukosa cha kufanya. Ila ukiingia huko baada ya miaka 3 ni majuto tuu.Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu [emoji24][emoji24][emoji24] usiombe najuta hata kusoma
kwani tofauti ya walimu na ma afsa maendeleo wa jamii, afsa kilimo, wachumi huko halmashauri ni nini?Unahitamani kwa sababu ya umaskini wako na kukosa cha kufanya. Ila ukiingia huko baada ya miaka 3 ni majuto tuu.