Mwl Mpwayungu,una msongo wa mawazo sana na akili yako ni finyu sana.Si ufanye kazi nyingine inayokulipa uache ualimu.Kila kukicha we hoja zako dhaifu sana juu walimu wetu ,wengine wametusaidia sana hadi hapa tulipo mbali ya changamoto zao na siyo wao wenye changamoto pekee.Na haiwezekani watumishi wote walipwe hizo posho au mishaara ya juu.
Tumia muda wako vizuri hapo Kijijini mwl Mpwayungu,lima hata mboga mboga,fuga kuku wa kienyeji,jikite kwenye kilimo au biashara ndogo ndogo itakusaidia kubadili mawazo na kukutoa kwenye msongo wa mawazo uliokuwa nao.
Tuwaheshimu walimu wetu na tuwapende walimu wetu.