Nimetoka uraiani ambako nilikuwa na uwezo wa kutengeneza net profit ya milion1.2 kwa mwez ambayo nimekuwa nikiingiza kwa zaidi ya miaka3 mfululizo na biashara yangu bado inauhitaji mkubwa sana, nikaja kwenye ualimu kwa ajili ya mshahara WA lak5 [emoji16][emoji16]
Nimejipa challenge ya miaka mitano kufanya Hii Kazi , kwa sasa Nina miezi 6 kazin tangu niajiriwe , Nina target ndan ya miaka mitano niachane na mambo ya utumish wa serikal nikaendeleze Nguvu kwenye ujasiriamali kama tu nitabakia kuwa Mwalimu WA kuingia darasani kufundisha, [emoji120][emoji120]
Kifupi Hii Kazi sio hasa ukiwa unafanya kijijn