Siyo kwamba una tatizo la afya ya akili? Why kila siku wewe ni kuwakejeli tu walimu?
 
Kama failures sio wapambanaji then Kwanini matajiri wa hapa mjini Ni failures wa huko mashuleni au hawajasoma kabisa?
 
Wengi wamesomea (tumesomea) ualimu kwa sababu

1. Ufaulu (japo miaka hii, ufaulu sio hoja sana)

2. Umaskini (kuna watu wamefaulu vizuri lakini umaskini ndio umewafanya wasomee ualimu (kushindwa kulipa ada nk)

3. Urahisi wa ajira (sasa sio issue sana)

4. Kupata mikopo kwa urahisi (HESLB)

5. Uelewa mdogo juu ya kazi hii (wengi wanakuja kuujua uhalisia wa ualimu baada ya kuusoma na kwenda field)

6. Wanapenda ualimu ( kuna asilimia ndogo isiyozidi tano 5% ambao wamesomea ualimu kwa kupenda )


CONCLUSION: Asilimia zaidi ya 95% ya walimu hawaupendi ualimu
 
Miongoni mwa jambo linaloonesha walimu hawaupendi ualimu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la walimu kuukimbia ualimu na kwenda kusomea kazi nyingine kama sekta ya afya, uchumi, kilimo nk

Lakini huwezi kukuta mtu atoke sekta ya afya, kilimo nk kisa akasomee ualimu

Nioneshe mtu aliyehama kazi sekta nyingine kisha akahamia sekta ya elimu halafu nitakuonesha mwalimu wa serikali anayelipwa milioni 10😂😂
 
Mloganzila wameanza kufanya upasuaji wa kuongeza makalio, unataarifa lakini. Nenda ukapate huduma Mpwayungu Village
 
Kuna siri kubwa ndani yake, ama huyu ni mwalimu aliyekosa pa kusemea mambo
 
Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa

Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
 
Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri.........
 
Ushapigwa kibaridi sasa mk unawasha.....
 
Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri.........
Hao wa balimi niwale angalau mshahara unapumua Kwa mwezi wanapokea laki mbili
 
Pole sana mkuu! Kama una imani ya kumjua Mungu ukajua hilo utadaiwa saana! Umefanya jambo gani kuwasaidia watu kama hao? Ujue ukwasi unaojigamba nao kama hujautafuta wewe mwenyewe physically uwe na uhakika kuna mtu, au jamii iliyoumia! Rushwa! Wizi! Dhuruma! Ufisadi! n.k.
 
Leo ndio nimegundua kuwa wewe jamaa ni Mshamba

Wanaokula bata au wenye pesa kamwe hawajisifii wala kusema wana pesa

Si bure hata hizo hela wanazopata Waalimu wewe huna na unawaonea donge

Amakweli masikini akipata Matako hulia mbwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…