Huu ujinga niliukataa kuvujiwa na gofu la kale lilijengwa kabla zijazaliwa. Kwa hasira hilo gofu nikaliandika kandahar yaliyokuwa maficho ya gaidi namba moja duniani. Mabosi wakaja kusoma wakaishia kucheka. Baadae nikalibadili jina na kuwa house of hope waliporudi wakashikwa na huruma ikabidi wakatenge hela za kujenga nyumba mpya mbili za kisasa nathani hizo nyumba Tanzania nzima hakuna nyumba kama hizo kwa shule za vijijini. Nyumba zina maji ndani kwa ndani, jiko, choo, stoo, sitting room, bed rooms amazing. Sipendi kufanya kazi ya ualimu kinyonge nyonge kama akili ninazo, kama siasa naijua, kama dini ipo, nimekamilika idara zote. Sina mpango wa kwenda kupanga nyumba nzuri mtaani endapo nitapangiwa shule yenye gofu la kukaa mwalimu ni aibu. Nitawa criticize mabosi wajenge nyumba bora watake wasitake watajua wapi pa kupata fungu la kujenga nyumba za shule kwa ajili ya walimu. Haiwezekani wajenge madarasa tu halafu walimu wakalale mitini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unazijua kota za mapoti pale Mwanza
 
Ifike muda wajipende na kujithamini usisubiri mtu akutengeneze mazingira ya unapoweka mbavu, nikweli maisha magumu lakini bora udundulize uzibe panapovuja kwa gharama zako ubaki unadai walipe wasikulipe basi cha muhimu ukae mazingira mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…