Post ya 2019 unaileta 2024 kweli? Kama wameshajengewa? Au umekurupuka mbio mbio kuleta uzi pasipo kusoma kwa kina hizo shots?
Amefanya hivi ili kuwajulisha mashabiki wake ya kwamba ameshatoka kifungoni. Na sasa yupo uraiani, na hivyo anaendelea pale alipoishia.
 
Kwani hii inajumuisha hata walimu ya international schools kama IST, UWC n.k?
 
Nilikua naambiwa but saiv nimejionea.. now nina hali ngumu ya maisha... nauchukia ualimu
 
Kuna watu mapunguani kweli ukianza na mwanzilishi wa uzi, hao unaowatukana ndio wamekuwezesha hata kuandika hizi sentensi kwenye huu uzi na kukutoa ujinga kichwani kwako. Shida ni serikali imewatelekeza kuliko kada zingine na hawana wa kuwatetea chama chao ni ziro kabisa.
 
Kwa zaidi ya 75% ulichokisema kina ukweli mtupu. Walimu wa Secondary kwa asilimia kubwa wanajitambua, lakini hawa wa Msingi, ni shida tupu. Ni waoga kwa kiwango cha lami ya Magufuli.
 
Kila weekend wafanye maombi maalum wote nchi nzima ndo watatoboa
 
hajawaona wafanya usafi uyu afu anasemaje boda boda wanamaisha mazuri kuliko walimu boda boda hawana ata assurance yoyote ya maisha mda wowote miguu inakata kamba ulinganishaje na walimu
 
Mzee bado unapenda vifua vya mamen? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka anatunukiwa cheti Cha ualimu maana take ana vigezo na amefaulu,Sasa ilinumpe kazi unampa mtihani wa Nini tena,Ina maana huamini mtihani aliopewa na serikali na mazoezi aliyofanya block teaching practice?
 
Walimu walimu walimu!!! Walimu zipo Tatu.

Nawaomba sana tena sana mjitambue, nendeni na Dunia isiwaache nyuma simnaona mnavyokuwa na matukio ya Ajabu? Matukio yenu mitaan yote ya kufedhehesha. Unaingizwaje kunyuma kwa mfano?.

Huku Namtumbo Kuna teacher kapigwa ngumi na mwanafunz kisa hataki kulipa pesa aliyokopeshwa na mwanafunz wake.

Yaani umekosa kwa kukopa unaenda kukopa kwa mwanafunz unaemfundisha Kisha unatiwa mitama na mwanafunz wako hizi si dharau

Badiliken bhnaaaa naongea kistarabu tu ebu jitambueni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…