Kwanini kuna wanafunzi wanafika darasa la 7 hawajui soma na kuandika?
 
Wakati nipo advance kuna ticha mmoja alinisanua kuwa kuna mwalimu mwenzao anapokea 16,000/= kwa mwezi, yani ana makato ya kila aina kudadeki. Kila mwezi watu wanachukua chao yeye anabaki na hyo.
 
Wapumzisheni Walimu wetu Jamani, eenhh?!!!.
 
Usidanganye watu bhana, hakuna sekta ya government inayoruhusu mtu kupokea elfu 16000, mwajiri na utumishi anasaini asimia acha kuwadanganya watu, wewe si umeweka card yako nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…