HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwanini kuna wanafunzi wanafika darasa la 7 hawajui soma na kuandika?Heshimuni walimu,asingekuwepo mwalimu usingejua kusoma na kuandika,bakizeni watoto wenu nyumbani muwafundishe,wewe ulijua kusoma na kuandika alikufundisha baba yako au mama yako?acheni dharau,mlisaidiwa hadi kufunga zipu,na kutengenezwa sketi zenu,na mafua hadi kifuani,angalia mfano wa mwanao tu hapo kwako anaendaje shule anapoanza madarasa ya awali