Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta

Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya

Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Si bora huyo mwalimu hata bank anakopa si wewe unaenda kukopa kausha damu
 
Screenshot_20230622-195343.jpg

Mpaka mme wako hakutaki anachimba wanawake wengine basi una shida kwenye maumbile yako na akili yako haiko Sawa
 
Back
Top Bottom