Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #41
HapanaWanao/Mwanao anasoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaWanao/Mwanao anasoma?
naona aliyakanyagaYani tar 4 mfuko umetoboka [emoji15]
Si bora huyo mwalimu hata bank anakopa si wewe unaenda kukopa kausha damuMuyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Kwani hao bank sio kausha damu?Si bora huyo mwalimu hata bank anakopa si wewe unaenda kukopa kausha damu
Umemaliza?Hivi Mods Mpwayungu ana akili kuwazidi nyiye?
Mtu aliyewapeni maarifa na ujuzi hadi kuimiliki JF anadharauliwa na kudhihakiwa na Mpwayungu huku nyiye mkicheka tu!
Nadhani hii si sawa.
Mimi sio mwalimu naachaje kujitambuaHujitambui
Hawana akili, shida Hawana akiliTuwaache waalimu wetu, wametutoa mbali, hawana marupurupu, hata kasehemu ka upigaji, bado wanakomaa. Big up waalimu.
Asante