Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Unawazungumzia walimu gani sijui!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu huwajui vizuri wewe, wanakeraSijui huyu mtu anashida gani
From primary to secondary (government schools)Unawazungumzia walimu gani sijui!?
Wamekufanya Nini?...Achana na maisha yao bwana...ishi maisha yakoWalimu huwajui vizuri wewe, wanakera
[emoji120][emoji120][emoji120]mpwayungu village ni mkombozi wa walimu asikilizwe Kwa sababu vitu vitu vyote anavyo visema kuhusu walimu ni vya kweli mimi mwenyewe ni shuhuda so mawazo yake yafanyiwe kazi
Natumaini wote wazima humu,japo changamoto zipo ila tunatakiwa tukomaye nazo maana haina jinsi:
Hizo changamoto tumeumbiwa sisi binadamu,hata uende wapi zipo pale zinakusubiri.
Nimependezewa niwaletee niliyoyapitia katika ukuaji wangu mpaka nilipofikisha 20s,najua utajifunza moja au lingine.
Mangi shangali..
ARUSHA,TANZANIA.
YAFUATAYO YANAFURAHISHA..
UTANGULIZI:-
NIlizaliwa miaka ile ya 90s katika hospital ya mount meru iliyopo katika jiji la arusha.kipindi hicho baba alikuwa anafanya kazi katika benki ya nbc,mama alikuwa mfanya biashara soko kuu arusha kipindi hicho soko lilikuwa linaitwa soko la bondeni kitambo hicho..
Katika ukuaji wangu na story nilizopewa na wazazi wangu pamoja na ndugu zangu waliokuwa nami nilipokuwa mtoto.
Mama anasema nilikuwa mtundu sana tena ujeuri,nilipokuwa na miaka 4 nilikuwa najifungia kwenye friji,kwa watu wanajua yale mafriji ya zamani yalikuwa makubwa sana sasa nilikuwa naingia ndani,nakujifungia humo mam
Zuzu karudi tena, kazi wanayo.Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe
Ukienda shule za private ambazo ni vinala wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.
Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa
Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu
Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?
View attachment 2664285
WE SAMIA UNA NONGWA SANA.Hakuna malipo kesho. Tunasubiri DP World wamesema wanatuma mwisho wa mwezi.
Hapo sasa.
Wewe ulisha wahi kuona mtoto wa kiongozi wa juu anasomea ualimu? Hiyo ni kozi ya makabwera tu.Je Kuna mwenye division one ya point tatu au nne advance akaomba ualimu chuo kikuu? Je Kuna yoyote alipata division one ya point saba o level ikabidi aende chuo cha ualimu wa shule ya Msingi kupata certificate?
Sasa ni kwanini wanaenda kusoma udaktari, sheria na engineering ila ualimu hawataki nanyie mnasema mishahara all most inafanana. Why ualimu imekuwa kimbilio na chugoa la mwisho kabisa baada ya kufeli
Ualimu naulinganisha na wadada waliokongoroka wamepapuchiwa mwisho anataka kuolewa na mwanaume yoyote yule awe tu anapumua
Upo sahihiWewe ulisha wahi kuona mtoto wa kiongozi wa juu anasomea ualimu? Hiyo ni kozi ya makabwera tu.