Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Huu mtindo umekuwa ukijitokeza kwa baadhi ya members maarufu kwa uandishi wao kukutana na counter offensive. Ila hao wanaoiga id za wenzao ni kero, wanatuchanganya sana
 
Huu mtindo umekuwa ukijitokeza kwa baadhi ya members maarufu kwa uandishi wao kukutana na counter offensive. Ila hao wanaoiga id za wenzao ni kero, wanatuchanganya sana
Ipo hivyo, Moderator sijui wanakwama Wapi kuwapiga ban hawa watu
 
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe

Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.

Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa

Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu

Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kwa hiyo, serikali huwa inaajili waliopata division zero? Au kufeli mana yake nini? Muwe na shukurani na serikali yenu. Imejitahidi kuwafikisha hapo kwa waalimu makini lakini lawama kibao. Kweli binadamu hana wema. Mnataka mpewe gunia la ma...
 
Back
Top Bottom