luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji3][emoji3][emoji3] afya ya akili ni jangaSawa Ticha naona unajipa ushauri mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] afya ya akili ni jangaSawa Ticha naona unajipa ushauri mwenyewe
We bwege Mpwayungu wape heshima walimu angalau kidogo! Hiki ulicho andika alikufundisha bibi yako?!Nyie mafala sana
Walijionaga kama wamefika nama reflector yao ...kwenye vishikwambi sasa ndo usisemeeWaulize walimu kile kibunda cha sensa bado wanacho[emoji38][emoji38] jokes
Hatari sanaWalijionaga kama wamefika nama reflector yao ...kwenye vishikwambi sasa ndo usisemee
Mpwayungu village kaenda kuongeza bando anakuja kukutolea povu jiandae[emoji38] hivi ni kenge kweli au masihara??Bora wao Wana komaa, kuliko wewe Uliye tamani kubadilisha jinsia[emoji855].
[emoji117]Eti una juta kuwa mwanaume, Mpaji Mungu ona hi kenge[emoji23][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nawasalimia tu ila nataka niwaambie machache
Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana
Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana
Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa
Acheni kukopa mnatia aibu
Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe
Pendaneni
Tafuteni kazi nje ya mshahara
Ushauri wangu ni huo tu
Huyu hapa.[emoji116]Mpwayungu village kaenda kuongeza bando anakuja kukutolea povu jiandae[emoji38] hivi ni kenge kweli au masihara??
[emoji38][emoji38]Huyu hapa.[emoji116]View attachment 2701740
WALIMU NI MACHAWA WACHA CCM IWACHEZEE KAMA NGOMANawasalimia tu ila nataka niwaambie machache
Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana
Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana
Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa
Acheni kukopa mnatia aibu
Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe
Pendaneni
Tafuteni kazi nje ya mshahara
Ushauri wangu ni huo tu
Alisema ana tamani kuwa female🤣😂Mpwayungu village kaenda kuongeza bando anakuja kukutolea povu jiandae[emoji38] hivi ni kenge kweli au masihara??
Alizingua sanaAlisema ana tamani kuwa female[emoji1787][emoji23]
Acheni wivu jamaniWalijionaga kama wamefika nama reflector yao ...kwenye vishikwambi sasa ndo usisemee