Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Walimu wa sasa usiwachukulie poa
Wana maisha mazuri
Wana magari, majumba
We bwabwaja tu mtandaoni hapa
Usikariri
Tumbafu
 
Nawasalimia tu ila nataka niwaambie machache

Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana

Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana

Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa

Acheni kukopa mnatia aibu

Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe

Pendaneni

Tafuteni kazi nje ya mshahara

Ushauri wangu ni huo tu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mpwayungu village kaenda kuongeza bando anakuja kukutolea povu jiandae[emoji38] hivi ni kenge kweli au masihara??
Huyu hapa.[emoji116]
JamiiForums-1233605711.jpg
 
Nawasalimia tu ila nataka niwaambie machache

Epukeni kujiingiza kwenye siasa maana mnaonekana cheap saana

Acheni uoga, maana bila ivyo mtatumikishwa na kudharauliwa sana

Acheni kujipendekeza bila hivyo mtapuuzwa

Acheni kukopa mnatia aibu

Mkurugenzi hana mamlaka ya kukufukuza kazi mkataba wako ni permanent and pensionable labda uvunje wewe

Pendaneni

Tafuteni kazi nje ya mshahara

Ushauri wangu ni huo tu
WALIMU NI MACHAWA WACHA CCM IWACHEZEE KAMA NGOMA
 
Back
Top Bottom