Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Si angekopa kama anakopesheka halafu aanze vitimbwi.
Anyway kafanya maamuzi magumu, Kuendeshwa na kijitu mpaka akuamulie maisha yako na familia yako ni ujinga...

Huko Ukerewe mbona wengi sana wanapakimbia?
Ukerewe ni sehemu iliyofungwa pande zote,miye wakati natoka Bukoba,nilipata mtu wa UK,hivyo kabla hatujafanya paperwork nikaenda kupaona kwanza,

Nilipata kamserereko ka msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,nilichokiona huko,nikasema no way!

Nikabadilishana na mtu wa Tanganyika,japo mara ya kwanza nilihisi nimeruka mkojo nimekita inya,ila Kwa sasa ni full bata
 
Huo ni uamuzi wa kijasiri. Kwa maana kwamba huko mbele kunaweza kuwa na majuto na masikitiko, au matunda beyond his wildest dreams.

Hakutaka kuishi na familia Ukerewe?
Mkuu vyovyote iwavyo kuishinda nafsi mbovu ni ujasiri tosha no matter yatamkuta mangapi
 
Leo nimepata taarifa mwalimu wa shule X alikuwa akishugulikia uhamisho atoke ukerewe aende kwao songea Sasa baada ya kuona mkurugenzi anazingua kumpitishia barua ilihali ana miaka zaidi ya kumi kituo kimoja na somo la kufundishia wapo walimu zaidi ya watano ila bado mwajiri analeta hira ikabidi aandike barua ya kuacha kazi hapo hapo

Ameacha kazi ili arudi nyumbani akakae na Familia afanye mambo yake kuliko kuburuzwa kijinga jinga tu

Kama yupo mwalimu anaweza fanya maamuzi magumu kama haya na aje hapa

Sema kama kuna mwalimu kafanya hivyo na sasa ni financial stable, huyo baada ya mwaka ataleta uzi, ni namna gani nitarudi kwenye ajira ya serikalin
 
Huwa nakuona huna akili completely, nahitaji siku nikupe mawasiliano yangu uje ofisini kwangu Kariakoo ila naona utalowea
Nipe nije tuunge uteja,natafuta chimbo la simu used,iphone na Samsung,na vile vi itel vidogo vya 20000 mpaka 30000

Huku Tanganyika vinalipa sana,

Lengo langu nipate koneksheni ya moja Kwa moja china
 
Leo nimepata taarifa mwalimu wa shule X alikuwa akishugulikia uhamisho atoke ukerewe aende kwao songea Sasa baada ya kuona mkurugenzi anazingua kumpitishia barua ilihali ana miaka zaidi ya kumi kituo kimoja na somo la kufundishia wapo walimu zaidi ya watano ila bado mwajiri analeta hira ikabidi aandike barua ya kuacha kazi hapo hapo

Ameacha kazi ili arudi nyumbani akakae na Familia afanye mambo yake kuliko kuburuzwa kijinga jinga tu

Kama yupo mwalimu anaweza fanya maamuzi magumu kama haya na aje hapa
maamuzi kama haya ni uzalendo kabisa✌
 
Nampa miaka 2 tu huyo kijana halafu tukutane pale..
Maisha ya kuishi mtaani ukipambania ugali wa kila siku yanahitaji uthubutu na uvumilivu mkubwa sana hasa sisi vijana sasa ngoja tumwangalie kwa kumpa muda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba anaweza tamani hata awe mfagia ofisi [emoji119]
Aahaaaa,kama yupo Kariakoo aseme yupo duka lipo,wiki ijayo nakuja Dodoma then Dar ofisi ndogo za CCM Lumumba,Kuna paperwork nafuatilia pale

Kama hatojali,aseme yupo wapi nimkute Ijumaa ijayo,nikishamaliza kitakachonileta Dar

Nataka nifungue duka la used iphones and Samsungs for the start

Mpwayungu Village kama hutojali weka mawasiliano iwe hapa au pm,tuyajenge
 
Nampa miaka 2 tu huyo kijana halafu tukutane pale..
Maisha ya kuishi mtaani ukipambania ugali wa kila siku yanahitaji uthubutu na uvumilivu mkubwa sana hasa sisi vijana sasa ngoja tumwangalie kwa kumpa muda.
Mkuu huyo dogo ni mpambanaji
 
Aahaaaa,kama yupo Kariakoo aseme yupo duka lipo,wiki ijayo nakuja Dodoma then Dar ofisi ndogo za CCM Lumumba,Kuna paperwork nafuatilia pale

Kama hatojali,aseme yupo wapi nimkute Ijumaa ijayo,nikishamaliza kitakachonileta Dar

Nataka nifungue duka la used iphones and Samsungs for the start

Mpwayungu Village kama hutojali weka mawasiliano iwe hapa au pm,tuyajenge
Kapuku wewe ebu Lala na mke wako huko mwenye mafundofundo
 
Back
Top Bottom