Walimu walimu walimu!!! Walimu zipo Tatu.
Nawaomba sana tena sana mjitambue, nendeni na Dunia isiwaache nyuma simnaona mnavyokuwa na matukio ya Ajabu? Matukio yenu mitaan yote ya kufedhehesha. Unaingizwaje kunyuma kwa mfano?.
Huku Namtumbo Kuna teacher kapigwa ngumi na mwanafunz kisa hataki kulipa pesa aliyokopeshwa na mwanafunz wake.
Yaani umekosa kwa kukopa unaenda kukopa kwa mwanafunz unaemfundisha Kisha unatiwa mitama na mwanafunz wako hizi si dharau
Badiliken bhnaaaa naongea kistarabu tu ebu jitambueni
View attachment 3038701