Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹 uanze kufatilia uduguu unapitwa ohh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mie sitakiiii, akuuuuh!!
Nifanye nitazame hivyo vipindi, kumbe nakosa uhondrooo!! Woiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 uanze kufatilia uduguu unapitwa ohh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mie sitakiiii, akuuuuh!!
Nifanye nitazame hivyo vipindi, kumbe nakosa uhondrooo!! Woiiiih
Kwahiyo hakuna watu wanaotibu watu ambao hawakupata marks nzuri sekondari mfano ma Clinical officers?Usiseme ohh ualimu mgumu
Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma
Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari
Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures
Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu
Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE
Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari
Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures
Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu
Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu
Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu
Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures
Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
Sana lo
😂😂😂, wanajiona waajiriMwalimu mkuu huwa anajiona yeye si mwalimu🤣
Sijaona jitu bwege kama wwMgogo umeibuka Tena!? Wewe huna jipya uliukosa ualimu Sasa unautukana!!! Vipi Ile Prado Yako namba E IPO!? Umesha chukua masters ya Sheria!? Hivi NGo unayofanyia kazi Wana kupa milioni Kumi Kwa mwezi!?.
Mm nakushauri achana na walimu wameridhika na hawana Hali ngumu kiiivyo!!!
Wewe unashindwa kuwahurumia wagogo wenzio omba omba unahangaika na walimu!?
Haijalishi, ukweli ni kuwa hakuna mtu mwenye division one ya 7 olevel na one ya 3 advance, eti akawe mwalimu. Icho kitu hakipo Ila madktar wapo japo madktar nawao hali ngumu tu wanashinda kwenye vilab vya pombeKwahiyo hakuna watu wanaotibu watu ambao hawakupata marks nzuri sekondari mfano ma Clinical officers?
Hizo kada zingine watu wenye certificate na Diploma walipata division 1?
Wapo ila wachache. Kuja classmate wangu alipiga A zote pcm form 6 akajichanganya akaapply ili kujazia tu akaweka ualimu. Yanis choice zote alizoweka waliziruka wakamchagua ualimu Udsm akaenda now teacher mwaka wa 10.Haijalishi, ukweli ni kuwa hakuna mtu mwenye division one ya 7 olevel na one ya 3 advance, eti akawe mwalimu. Icho kitu hakipo Ila madktar wapo japo madktar nawao hali ngumu tu wanashinda kwenye vilab vya pombe
Kazi ya uganga ni kujua kuongea sana tu uwe mtu wa maneno mengi hata kama hujui dawa.Hiyo sio kazi ngumu labda nikuambie tu kuwa hakuna kazi ngumu kama uganga wa kienyeji, yaani mtu anafika anakaa kimya umwambie kilichomleta ni nini
Waganga wapewe maua yao
Fact sio makasiriko. Watu wanajoongelea tu humu hawana hata data.Mwalimu punguza makasiriko
Hawajui ukuu ndo chronic disease ya ualimu.😂😂😂, wanajiona waajiri
Kama vile nakuona ulivyochafukwa! Only to realize you are more hopeless than the teachers. Ungekuwa na akili hata kidogo malalamiko yako usingeyapeleka kwa walimu peke yao, hao unawatumia tu kuelezea frustration ulizonazo katika maisha. They chose to be teachers, let them be, you chose to be whoever you are, then work hard. Kuna watu wanafanya mambo ya hovyo kabisa sehemu tunazoishi, but as long as they are not teachers, who cares! Wewe unataka uwanyang'anye hata hicho kidogo walicho nacho! As the saying goes every nation lives greedy people, you are a typical example. Kwa mleta mada is just as helpless as you are, he can do nothing to change the situation.Usiseme ohh ualimu mgumu
Kujiunga fani ya ualimu iwe certificate, diploma au digrii wanaojiunga ni failures walioshindwa kusimoma kwa juhudi wapate division nzuri sekondari wanaolakamika ohh kazi ya ualimu ngumu kwani kusoma sekondari rahisi ? Mbona walipata pass za ajabu za chini mno kwa uvivu wao wa kusoma
Certificate, diploma na digrii za ualimu wanajiunga watu choka mbaya wavivu kusoma wenye pass mbaya sekondari
Akienda chuo malalamishi kibao akiajiriwa kelele kibao sababu culture ya uvivu na kujituma hajaanzia kwenye ajira kaanzia sekondari anakula bata tu halafu anategemea apate pass nzuri Akiajiriwa anataka mausha na bata shule watoto wanafeli hadi basi analilia serikali iboreshe mishahara nk wakati hana cga maana anachofanya shuleni zaidi ya kuzakusha failures
Niombe serikali ianze kupeleka wasomea ualimu division one tu waachabe na hao wapumbavu wa division 2 3 na 4 sekondari kuinua kiwango cha Elimu
Kama serikali ilivyofuta walimu wa UPE
Isidahili tena mtu kusomea ualimu aliyepata chini ya division one sekondari
Tuondokane na hawa wapumbafu secondary failures
Kipindi cha mkoloni best performers mitihani ya sekondari ndio walikuwa wakipewa kipaumbele kusomea ualimu
Sasa hivi best performers wamebaki chuo kikuu tu
Serikali irudishe upesi system ya zamani best performers division one waende ualimu hawa failures waende kuwa machines huko ili kunyanyua kiwango cha elimu
Haiwezekani kunyanyua kiwango cha elimu kwa kutegemea failures secondary walioenda vyuo vya ualimu as failures
Hapana.Wanadai mengi wakati wako hopeless delivery zero wafungishwe virago
Khabisa, ualimu ni kazi ya hovyo sanaKuna kazi zingine hata kama upo jobless huwezi kuzionea wivu.