Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

hornet usijifanye kupinga vitu usivyovijua uliza upate faida Wigi Brazilian Hair ipo mpaka ya laki sita pisi moja jumla hizo mimi najumlisha kariakoo kwa 12500 mpaka 14000 zimetofautiana bei reja reja zimauzwa 18000, 20000 mpaka 25000 hawana bei maarum mm nipo johannesburg natuma au nakuja mwenyewe muda mwingi hizo bidhaa nauza.,
 
urban mzigo wa jumla ukifika ntakujulisha duka lipo opposite na Big bon kariakoo hawezi kupotea kila wiki mbili nywere zinafika za wiki hii sio wigi ni weaving kwa anaranza biashara na zenye mzunguko mkubwa ni wigi hizo ntakujulisha na rangi zinazotembea sana hata ukinunua sehemu ingine swala wewe ufanikishe tuu mkuu
 
Kuna jamaa wanajiita Prima Afro kama sijakosea ni wauzaji wa jumla.
Otherwise chek na kidoti (Jokate) maana naye c alifungua kampuni ya nywele bandia?
 
urban mzigo wa jumla ukifika ntakujulisha duka lipo opposite na Big bon kariakoo hawezi kupotea kila wiki mbili nywere zinafika za wiki hii sio wigi ni weaving kwa anaranza biashara na zenye mzunguko mkubwa ni wigi hizo ntakujulisha na rangi zinazotembea sana hata ukinunua sehemu ingine swala wewe ufanikishe tuu mkuu

Ukiweka mzigo naomba unipatie taarifa mpendwa
 
Watu wa mungu,habari za saa hizi? Wakuu kutokana na ugumu wa maisha na kuongezeka majukumu nimeamua kuanza biashara maana mshahara hautoshi kwa kweli. Haukutani mwezi kwa mwezi.

Nimeamua kufanya biashara ya urembo wa kinadada, mfano nywele za kike, lipstick, body spray na perfume. Ombi langu mwenye uwelewa wa hi biashara ani dadavulie jinsi ya kupata nywele za jumla DARLING HAIR na mzigo wa body spray tofauti tofauti.

Mimi nipo Mwanza. ukitoa hela ya frame na maandalizi na milioni mbili ya mzigo tu.
 
Dar kuna viwanda vya nywele nadhani ni bora ukachukulie mizigo yako kiwandani,spray kkoo ni elf3 ukija ukawauzia elf6 si haba,na makorokoro mengine nenda kalangue kkoo ila fanya utafiti watu wako watahitaji bidhaa zipi (brand,)
 
Unaweza kuongezea slippers,kachakacha,lotions kama queenelizabeth jumla ni 20 rejareja 25...and the like,usisahau biashara ni matangazo
 
th
Unaweza kuongezea slippers,kachakacha,lotions kama queenelizabeth jumla ni 20 rejareja 25...and the like,usisahau biashara ni matangazo
asee asante sana.nalifanyia kazi
 
tmp-cam--1806995283.jpg

ukihitaji Wigi tofauti tofauti tuwasiliane.
 
Ukihitaji body spry, perfume, urembo kama hereni, cheni, lipstick, mec up na vipodozi karibu tuwasiliane, nipo dar,
ila kwa ushauri zaidi kulingana na mtaji wako jitahidi uweze kupata bidhaa hukohuko mwanza, maana kufata bidhaa dar inawezakua na bei nafuu lakini gharama za nauli pamoja na kusafirisha mzigo ikaondoa ziada ya faida.
 
Dar kuna viwanda vya nywele nadhani ni bora ukachukulie mizigo yako kiwandani,spray kkoo ni elf3 ukija ukawauzia elf6 si haba,na makorokoro mengine nenda kalangue kkoo ila fanya utafiti watu wako watahitaji bidhaa zipi (brand,)
hao viwandan hua wanataka ununue mzigo kuanzia wa million tano
 
Back
Top Bottom