Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

Maoni, Mawazo & Ushauri kuhusu biashara ya Rasta na Weaving

tmp-cam-228707459.jpg
tmp-cam--413430166.jpg

hizo ndio zimeshika soko sasa hivi H 1 perfect hair 100%
human hair.
 
isanga family wiving za kawai kama zile wanazosukia kina dada unauzaje kwa pc na unauza kuanzia piece ngp??
 
Santos mtn wiving za kawaida inch 6,8 bei ya jumla 12,000 kuendelea kutokana na jina na pia zipo bump to bump pia hizi 15500,mambo twist jumla 12,000 kuanzia pc 6 jumla ila ukihitaji pungufu ya hapo ntakuuzia bei jumla karibu tuu duka linatazamana na big bonn wauza mafuta kariakoo tushazoea kuita shell.
 
NEND SINZA MAKABURINI STENDI KUNA NJIA YA KWENDA MLIMANI CITY,UKIONA JENGO WANATOKA MADADA WAREMBO NA WAZURI INGIA MULE KUNA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MAWIGI
 
Habari wana JF...

Wakubwa shikamooni..

Naomba kujuzwa kuhusu kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza mawigi.

1. Upatikanaji wa kofia au vitambaa vya kushona kofia.

2. Upatikanaji wa nywele kwa Tanzania au nje ya Tanzania

Pia naomba ushauri au maoni juu ya biashara hii.

Asante_

_Queen

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
Mahindi na sukari huruhusiwi kuagiza wa kutoa nje. Biashara ya mafuta huiwezi inahitaji mtaji mkubwa, madini ndio kabisa. Hali ya uchumi ilivyobana sisi wanaume hatununui nguo tena, boxa mbili jinzi mbili na shati tatu zinamaliza mwaka. Wanawake jinzi na magauni hawanunui tena.

Wao Madela mawili yanawatosha. Chupi ndio kabisa hawajisumbui kununua kwa sababu hawavai tena. Maduka ya nguo biashara hakuna tena, pita Sinza na Kinondoni wafanyabiashara wanalia na wanafunga maduka.

Sasa fursa iliyobakia kanunue mawigi na sidiria kwenye maduka ya jumla kariakoo yazungushe mitaani. Nakuapia kati ya wanawake kumi utakaokutana nao watano watanunua. Sidiria haikwepeki wananunua kupiga jeki kwa sababu weng wao vitu vimeshaelekea kusini na wanahitaji kuonekana bado wamo.Wigi ni lazima kwa sababu pesa za saluni hakuna siku hizi na hawapati kwa sababu graph ya kuhonga imeshuka sana. Hizi ni bidhaa za lazima kwa sasa.

Changamkia fursa
 
Back
Top Bottom