Maoni na Msimamo wa Baraza la Katiba la Wasanii

Maoni na Msimamo wa Baraza la Katiba la Wasanii

We see evidence of more antisocial behavior than ever among our youth—a sort of ... Given the lack of agreement, moral education, it was argued, was best left to the ... They may know whom to throw off the life raft, but they cannot relate these
 
hakuna uchadema hapa wala u ccm hapa maoni haya ni ya kitoto kabisa halafu na wewe unatetea
mwambie akalete upya maoni haya hayafai hayana tafakuri kabisa maoni gani hata mtoto wa darasa la 3 shule ya msingi kwa mtogole hawezi andika maoni kam haya.

Wewe nani amekupa mamlaka ya kuamua maoni gani yanafaa na gani hayafai?
 
Ni jambo linalozungumzika. Limezungumzwa sana ingawa sio kwenye vyombo vya habari, lakini mazungumzo hayo yamedhihirisha kuwa serikali ya Zanzibar kuivunja ni jambo linalohitaji mikakati endelevu ya miaka isiyopungua 20. Kama watanzania wanataka kuwa na katiba mwaka 2014 basi serikali mbili zitabaki, any changes to the number of government must come with the price of significant delay in the process which may imply absence of general election in 2015.

Choices have concequences...
ZeMarcopolo,

..duh!!

..CCM kweli nyinyi kiboko!!!

..kwa hiyo mmeamua kwamba either serikali 2 au hakuna uchaguzi mwaka 2015??

..what about TUME HURU YA UCHAGUZI? that too can not be established bila katiba mpya??

..daftari la wapiga kura nalo hamtaki kurekebisha.

cc Ben Saanane, Mikael P Aweda, Jasusi, Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,

Choices have concequences.

Huwezi kula keki yako halafu bado ukataka iendelee kuwepo mezani.

Songombingo ya kuanzisha serikali ya Tanganyika lazima iende sambamba na songombingo ya kuandika katiba ya Tanganyika. Je, ni nani mwenye mamlaka ya kuandika katiba ya Tanganyika? amepewa mamlaka hayo na nani?

Songombingo ya kuvunja serikali ya Zanzibar. Je ni nani mwenye mamlaka ya kuivunja? Amepewa na nani mamlaka hiyo? What is its political impact? CAn it be fast-tracked?
 
No need to stick that close to the truth when social media make no such demand on their participants
 
mkuu,

choices have concequences.

Huwezi kula keki yako halafu bado ukataka iendelee kuwepo mezani.

Songombingo ya kuanzisha serikali ya tanganyika lazima iende sambamba na songombingo ya kuandika katiba ya tanganyika. Je, ni nani mwenye mamlaka ya kuandika katiba ya tanganyika? Amepewa mamlaka hayo na nani?

Songombingo ya kuvunja serikali ya zanzibar. Je ni nani mwenye mamlaka ya kuivunja? Amepewa na nani mamlaka hiyo? What is its political impact? Can it be fast-tracked?
akili kama za lulu hizi eti kuvunja serikali ya zanzibar unataka kuwaaminisha watz kuwa hawana fikra na unataka kupingana na jaji warioba, nyalali hata jumbe, g55 na wazanzibar wenyewe kweli ccm hamnazo
 
akili kama za lulu hizi eti kuvunja serikaliya zanzibar unataka kuwaamnisha watz kuwa hawana fikra na unataka kupingana na jaji warioba, nyalali hata jumbe, g55 na wazanzibar wenyewe kweli ccm hamnazo

Jaribu kusoma ulichokiandika kama utakielewa. Kama wewe mwenyewe hukielewi, unategema wasomaji wengine wataelewaje?
 
Mkuu,

Choices have concequences.

Huwezi kula keki yako halafu bado ukataka iendelee kuwepo mezani.

Songombingo ya kuanzisha serikali ya Tanganyika lazima iende sambamba na songombingo ya kuandika katiba ya Tanganyika. Je, ni nani mwenye mamlaka ya kuandika katiba ya Tanganyika? amepewa mamlaka hayo na nani?

Songombingo ya kuvunja serikali ya Zanzibar. Je ni nani mwenye mamlaka ya kuivunja? Amepewa na nani mamlaka hiyo? What is its political impact? CAn it be fast-tracked?
ZeMarcopolo,

..just be careful.

..inaweza kula kwenu.
 
Last edited by a moderator:
aisee umenichekesha sana tena sana ngoja nikpate pepc then ntarudi humu dah!

Maana mkuu huwez nambia mim kundi la wasani wote hwa waje na maoni matatu tena very shallow wakat wanamatatizo kibao
 
Kuber na ganja havikuwepo kwenye mada na hivyo vitu hutumiwa na watu kama wewe.
Tulijadili Rasimu ya Katiba.

Sasa unataka kunambia na huo mlegezo wako ulopiga ndo tujadil nawewe maswala nyet ya katiba???? u cant be seriouz kama vip we tafta show mamb ya siasa waachie wenyewe
 
Kwani Lulu hapaswi kuwa na maoni?

Mkuu we unadhani lulu atachangia nini cha maana? kwa akili yako kabisa utakaa kusikiliza maoni mtu kama ant ezekiel,mtanga,kingwendu,mzee pembe? ha ha ha eti mtu kama juma nature nae anaweza kutoa mchanganuo wa serikali moja? daah napata taabu sana kuelewa walicho jadili au walienda kushindana kuonyesha gagulo zao tu hawana lolote la maana lenye kujenga.
 
Kwahiyo Sugu avuliwe Ubunge?

Kwa minajili hiyo hakuna haja ya kuwa na tume ya katiba, tungempa tenda prof. Shivji angetengeneza katiba moja safi sana...
 
Wasanii walotoa maoni niwale wa vinyango na wachoraji sio bongo movie wala bongo flava
 
Kwahiyo Sugu avuliwe Ubunge?

Kwa minajili hiyo hakuna haja ya kuwa na tume ya katiba, tungempa tenda prof. Shivji angetengeneza katiba moja safi sana...

....Hayo ni maneno yako si yangu,lakini kwa maelezo ya mleta mada utagundua kabisa kwa nini kazi za wasanii wetu ni viwango duni,uwezo wao ni mdogo sana kiakili, by the way huwezi kumfananisha sugu na wasanii wa kileo eti mr.blue,nyandu tozi,kala jeremiah,chid benz ha ha ha these guys are too low.
 
Wasanii walotoa maoni niwale wa vinyango na wachoraji sio bongo movie wala bongo flava

Hata hao wa bongo movie unadhani watachangia nini cha maana? mtu kama ray au dr cheni unadhani kuna wanacho kijua? au diamond au shilole wataongea nini?
 
Back
Top Bottom