Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo tunako elekeaumesahau biashara ya ngono ingawa hili tra hawajawa makini kuweza kukusanya mapato,wakijipanga aaah!mbona chungu kitachemka?
hakuna uchadema hapa wala u ccm hapa maoni haya ni ya kitoto kabisa halafu na wewe unatetea
mwambie akalete upya maoni haya hayafai hayana tafakuri kabisa maoni gani hata mtoto wa darasa la 3 shule ya msingi kwa mtogole hawezi andika maoni kam haya.
ZeMarcopolo,Ni jambo linalozungumzika. Limezungumzwa sana ingawa sio kwenye vyombo vya habari, lakini mazungumzo hayo yamedhihirisha kuwa serikali ya Zanzibar kuivunja ni jambo linalohitaji mikakati endelevu ya miaka isiyopungua 20. Kama watanzania wanataka kuwa na katiba mwaka 2014 basi serikali mbili zitabaki, any changes to the number of government must come with the price of significant delay in the process which may imply absence of general election in 2015.
Choices have concequences...
ZeMarcopolo,
..duh!!
..CCM kweli nyinyi kiboko!!!
..kwa hiyo mmeamua kwamba either serikali 2 au hakuna uchaguzi mwaka 2015??
..what about TUME HURU YA UCHAGUZI? that too can not be established bila katiba mpya??
..daftari la wapiga kura nalo hamtaki kurekebisha.
cc Ben Saanane, Mikael P Aweda, Jasusi, Mwita Maranya
akili kama za lulu hizi eti kuvunja serikali ya zanzibar unataka kuwaaminisha watz kuwa hawana fikra na unataka kupingana na jaji warioba, nyalali hata jumbe, g55 na wazanzibar wenyewe kweli ccm hamnazomkuu,
choices have concequences.
Huwezi kula keki yako halafu bado ukataka iendelee kuwepo mezani.
Songombingo ya kuanzisha serikali ya tanganyika lazima iende sambamba na songombingo ya kuandika katiba ya tanganyika. Je, ni nani mwenye mamlaka ya kuandika katiba ya tanganyika? Amepewa mamlaka hayo na nani?
Songombingo ya kuvunja serikali ya zanzibar. Je ni nani mwenye mamlaka ya kuivunja? Amepewa na nani mamlaka hiyo? What is its political impact? Can it be fast-tracked?
akili kama za lulu hizi eti kuvunja serikaliya zanzibar unataka kuwaamnisha watz kuwa hawana fikra na unataka kupingana na jaji warioba, nyalali hata jumbe, g55 na wazanzibar wenyewe kweli ccm hamnazo
ZeMarcopolo,Mkuu,
Choices have concequences.
Huwezi kula keki yako halafu bado ukataka iendelee kuwepo mezani.
Songombingo ya kuanzisha serikali ya Tanganyika lazima iende sambamba na songombingo ya kuandika katiba ya Tanganyika. Je, ni nani mwenye mamlaka ya kuandika katiba ya Tanganyika? amepewa mamlaka hayo na nani?
Songombingo ya kuvunja serikali ya Zanzibar. Je ni nani mwenye mamlaka ya kuivunja? Amepewa na nani mamlaka hiyo? What is its political impact? CAn it be fast-tracked?
Tatizo haya ni maoni ya wasanii
aisee umenichekesha sana tena sana ngoja nikpate pepc then ntarudi humu dah!
Kuber na ganja havikuwepo kwenye mada na hivyo vitu hutumiwa na watu kama wewe.
Tulijadili Rasimu ya Katiba.
aisee umenichekesha sana tena sana ngoja nikpate pepc then ntarudi humu dah!
Kwani Lulu hapaswi kuwa na maoni?
Mkuu we unadhani lulu atachangia nini cha maana? kwa akili yako kabisa utakaa kusikiliza maoni mtu kama ant ezekiel,mtanga,kingwendu,mzee pembe? ha ha ha eti mtu kama juma nature nae anaweza kutoa mchanganuo wa serikali moja? daah napata taabu sana kuelewa walicho jadili au walienda kushindana kuonyesha gagulo zao tu hawana lolote la maana lenye kujenga.
Kwahiyo Sugu avuliwe Ubunge?
Kwa minajili hiyo hakuna haja ya kuwa na tume ya katiba, tungempa tenda prof. Shivji angetengeneza katiba moja safi sana...
Wasanii walotoa maoni niwale wa vinyango na wachoraji sio bongo movie wala bongo flava