GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Askofu kachanganyikiwa kanisa limefungiwa kwa ujinga wake sadaka hapati tena.
 
Reform inahusu vyama vyote na sio chadema TU maana hata hivyo vyama vinahitaji reform
 
Reforms zipi zimefanyika? Huo ujinga wa kuitwa tume huru ya uchaguzi?
Tulia ewe chawa
 
Gwajima ni mwanaCHADEMA aliyeingia CCM kimaslahi. Ni vema akavuliwa uanachama ili awe huru na CHADEMA yake.
 
Reforms zipi zimefanyika? Huo ujinga wa kuitwa tume huru ya uchaguzi?
Tulia ewe chawa
endelea kuinjoy athari za kususa hadi akili ikukae vyema gentleman
 
Mbona wewe hujapuuza?
 
Bila shaka upuuzwe wewe zombie na tapeli . Shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Nyie ndo mshapuuzwa ndo mana mpo busy kumwaga damu na kulazimisha kutawala bwana mchelengwa
 
Wewe ndo wa kupuuza, na actually ulishapuuzwa kitambo.
 
Jamani mama si ameupiga mwingi anawanachama milioni 12 yaani tunakura milioni 12 kabla ya kampeni sasa rifomu si zifanyike tuwachape kile chama kwanza ni waropokaji HAWANA viongozi 😂😂😂tufanye rifomu jamani
 
Ole Ole... Fuateni ushauri wake muone...
Saa mbili asubuhi mnarejea kwenu kizimkaxi ... Jiandaeni tu na uchafuzi.. tushazoea.
Pmbaf
 
changia tu hoja bila mihemko wala kuweweseka,

jikite kwenye mada gentleman
Issue ni utekaji,acheni kuteka watu kifalafala na kuchukua uhai wa watu kisa mtu anakosoa
Mnataka nchi iwe kama Mexico
Mnapeleka mambo kihunihuni utafikiri mko kama guatamala

Ova
 
Gwajima ni mpumbavu sana, yaani kukosa akili na kulemaaa kwa kula sadaka za uongo akifufua misukule kumemlemaza
 
Issue ni utekaji,acheni kuteka watu kifalafala na kuchukua uhai wa watu kisa mtu anakosoa
Mnataka nchi iwe kama Mexico
Mnapeleka mambo kihunihuni utafikiri mko kama guatamala

Ova
hizo porojo hazina ukweli wowote gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…