4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Namtete mkuu uyu ni mzima na nimwanachadema sema tu lazima afanye hivi maana tumbo,tumbo,tumbo narudiaUtakuwa shoga siyo bure
Namtete mkuu uyu ni mzima na nimwanachadema sema tu lazima afanye hivi maana tumbo,tumbo,tumbo narudiaUtakuwa shoga siyo bure
Yule pesa ipo , kanisa ni sehemu ya huduma, alafu sidhani hata kama serikali imekuta hata pesa ya kutosha ili wafunge accout zake za benk wenda jasus la Mbinguni alishafanya yake mapema kabla ,wenda walikuta labda mil 5 , maa si ukimbilia funga account za benkiAskofu kachanganyikiwa kanisa limefungiwa kwa ujinga wake sadaka hapati tena.
Ahaaa, ndio maana. Nimeelewa sasaNo ni kwa siku; wanapeana shift. ila lazima walete uzi
Kataa ujinga kubali maarifa uonekane MTU katikati ya jamiiLeo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili madai hewa kwa maslahi yao?
atakua tayari tena kuitisha press conference kuwatetea ?
ni muhimu sana askofu akaacha unafiki na kujifunza zaidi kuhusu demokrasia.
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma > DSM - GE2025 - Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA
Leo ulisema utajibu barua ya Polepole mbona kimyaAna msongo wa mawazo.
Huyu hana huwezo ,sasa sana machawa wenzake waandike naye apost, maana uyu ni chawa mzoefuLeo ulisema utajibu barua ya Polepole mbona kimya
Kama wewe ulipona hatuna wasiwasi Kwa gwajimaasipopata msaada wa kisaikolojia mapema anaweza kua mwehu,
sote ni mashuhuda gwajima kuna changamoto anapitia
![]()
Nimeshamjibu tayari na watu wamepata kufunguliwa macho na akili.Leo ulisema utajibu barua ya Polepole mbona kimya
Nimeshamjibu tayari na watu wamepata kufunguliwa macho na akili.