GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tahira kweli reform gani zimekwisha fanyika ambazo zinaacha makada waccm kuwa watendaji wakuu wa tume ya uchaguzi. Hivi nyie matahira wa ccm manafikiri watanzania wote milioni 70 wote ni matahira kama nyie?
Milion 70 au niwewe na wapuuzi wenzako wachache ?. Gwajima ni CCM damu na kama mtumishi wa kiroho kaahidi kweli Atafia CCM. Hakuna mahali au mtu aliekamilika 100% na kupishana kauli ni nature na binaadamu. Kuwa mpole guy
 
Msi
Msijifanye hamuoni na kuleta uchawa wa kijinga na kujishushia heshima mbele ya familia zenu,jamaa nk,Haya anayongea Gwajima ni Haki na Sahihi,Bahati nzuri Kwa Sasa watu wameelimika, wanaona na wameona,Hivyo kuja kujifanya mtetezi wa hoja zako ni maoni Yako,ila huwezi kuyafanya hayo uyasemayo Ndio yawe navyatendeke!The world must change and who resist changes must thrown away by the way side! Hawezi kuzuia kimbunga Kwa mkono,kamwe,usijitie Aibu!
 
Gwajiboy na Slowslow hao ni wenzenu wawili tu walioamua kuukana uchawa,sasa sijui na hao Chadema wasiopenda uchawa iliowafunga mdomo kwa plaster,mikono kwa pingu na miguu kwa minyororo iwapo wangekuwa huru.?
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
We msenge zimefanyika reforms Gani, unatuona matako Yako, kakojolewe na mabwana zako ccmpolisimahakama manina zenu
 
Kwamba una uhakika hizo reforms ni hitaji la CHADEMA pekee!? Kwamba ACT, NCCR, CHAUMMA n.k hawazihitaji au wana mapendekezo tofauti!? Kuna mpinzani asiyehitaji tume huru!? Ukiona hivyo jua siyo mpinzani huyo. Wakati mwingine kabla ya kuja na nyuzi za kichawa muwe mnashirikisha ubongo kwanza.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
zingatia hoja gentleman,

hata hivyo,
iki hizo reforms kama sio za chadema pekee, mbona vyama vingine vinaendelea na mambo yao kivyao wasiungane na hiyo chadema inayodai reforms kwaajili yao?
 
Tahira kweli reform gani zimekwisha fanyika ambazo zinaacha makada waccm kuwa watendaji wakuu wa tume ya uchaguzi. Hivi nyie matahira wa ccm manafikiri watanzania wote milioni 70 wote ni matahira kama nyie?
Alafu matahira ndiyo unataka wakufanyie marekebisho eti.
 
We msenge zimefanyika reforms Gani, unatuona matako Yako, kakojolewe na mabwana zako ccmpolisimahakama manina zenu
endelea kususia michakato, upitwe tena na reforms nyingine kisha uje ushangae na kung"aa macho humu jukwaani
 
Kwamba maana ya upinzani ni nini? Nadhani kuna umuhimu wa kufundishwa maana ya opposition political parties.
 
Huna uwezo wa kusimama na kuongea ujinga wako mbele ya watu wanaojitambua na kutambua umuhimu wa Taifa ,we upo ndo maisha uliojichagulia nje ya mapenzi ya Mungu, maana ni kawaida binadamu kengeuka, na kusaliti Mungu aliemuumba . Tulia kama maji nakwambia
 
mbona kama unaweweseka gentleman
 
Gwajima ni mwanaCHADEMA aliyeingia CCM kimaslahi. Ni vema akavuliwa uanachama ili awe huru na CHADEMA yake.
Kwani ccm wapo wanachadema wangapi waliotoka chachema tena na kula vyeo, nyie wajinga mkibaki midomo wazi.

Kwamba mda wote mnapambania chama ,ila wageni wanakuja kulamba vyeo ,mpo sawa vichwani ,kalimeni nyannya, unapewa pikipiki,baiskeli alafu bila haya unatamba mtaani yani, leo pikipiki used zipo mpka za laki mbili, baiskeli watu wanauza kwenye vyuma chakavu, inakuwaje shangilia pikipiki na baiskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…