GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Askofu kachanganyikiwa kanisa limefungiwa kwa ujinga wake sadaka hapati tena.
Yule pesa ipo , kanisa ni sehemu ya huduma, alafu sidhani hata kama serikali imekuta hata pesa ya kutosha ili wafunge accout zake za benk wenda jasus la Mbinguni alishafanya yake mapema kabla ,wenda walikuta labda mil 5 , maa si ukimbilia funga account za benki
 
Kataa ujinga kubali maarifa uonekane MTU katikati ya jamii
 
Maneno mengi kwa nini na wewe usiende au kujitokeza kama yeye?
Amejirisk kutetea na kusema ukweli
Kuna watu Kaz kukosoa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…