Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Nilikuta hakuna thinkers ambao ni great wala less ikabidi nichangie tu upupu ili tufanane.
 
Binafsi sikuwa mfuatiliaji sana wa siasa

Sasa maneno kama Lumumba na Ufipa nilikua sielewi kabisa kwanini baadhi ya members wanaitwa wana ufipa wengine wana lumumba
 
Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.

Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
[emoji3] hakuna sababu isiyokosa Msingi lakini
 
Hata papuchi? [emoji23] [emoji31] [emoji144]
 
Kuna jukwaa hua nalitafuta mpaka sasa sijawahi kuliona linaitwa jukwaa la wakubwa nalisikia tu
 
Kuna jukwaa hua nalitafuta mpaka sasa sijawahi kuliona linaitwa jukwaa la wakubwa nalisikia tu
Jukwaa zito sana hilo, JLW. Huwezi kuwa na access nalo kirahisi. Wewe endelea kukua kwanza, kisha utaingizwa ukishakomaa haswa.
 
Jukwaa zito sana hilo, JLW. Huwezi kuwa na access nalo kirahisi. Wewe endelea kukua kwanza, kisha utaingizwa ukishakomaa haswa.
Sijakuelewa unamaanisha umri au niwe mkongwe Jf
 
Sijakuelewa unamaanisha umri au niwe mkongwe Jf
Hahahah!... Simaanishi vyote kati ya Viwili ulivyovitaja... Namaanisha uwezo wa kupata nafasi ya kuungwa kwenye hilo jukwaa.

Ila anyway, mtafute JamiiForums pm, kisha muelezee nia yako
 
Hahahah!... Simaanishi vyote kati ya Viwili ulivyovitaja... Namaanisha uwezo wa kupata nafasi ya kuungwa kwenye hilo jukwaa.

Ila anyway, mtafute JamiiForums pm, kisha muelezee nia yako
Hua naziona baadhi ya post zake hua zipo hot sana mkuu kama ukisoma haya maelezo unaeunganisha member naomba uniunganishe
 
Mi nilivijua vyote na sikuhitaji msaada wa mtu yeyote, msaada nilioomba humu ni wakuunganishwa na jukwaa la mambo ya wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…