Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Daaah sijui kkwann sikukupitia tukaja p1 huku. Sorry mkuu HR 666 amenilipoti eti mm ninatumia Id nyingine ya Bob12Hahaaa pole sana. Hivyo nilijua siku hio hio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah sijui kkwann sikukupitia tukaja p1 huku. Sorry mkuu HR 666 amenilipoti eti mm ninatumia Id nyingine ya Bob12Hahaaa pole sana. Hivyo nilijua siku hio hio.
Daaah sijui kkwann sikukupitia tukaja p1 huku. Sorry mkuu HR 666 amenilipoti eti mm ninatumia Id nyingine ya Bob12
[emoji3] hakuna sababu isiyokosa Msingi lakiniEmoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.
Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
Hata papuchi? [emoji23] [emoji31] [emoji144]Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.
Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
Mpaka sasa hivi sijui kuweka rangi nielekeze mkuuKuandika kwa rangi, ku-PM, ku- bold, kuzoea lugha za .com
Jukwaa zito sana hilo, JLW. Huwezi kuwa na access nalo kirahisi. Wewe endelea kukua kwanza, kisha utaingizwa ukishakomaa haswa.Kuna jukwaa hua nalitafuta mpaka sasa sijawahi kuliona linaitwa jukwaa la wakubwa nalisikia tu
Sijakuelewa unamaanisha umri au niwe mkongwe JfJukwaa zito sana hilo, JLW. Huwezi kuwa na access nalo kirahisi. Wewe endelea kukua kwanza, kisha utaingizwa ukishakomaa haswa.
Hahahah!... Simaanishi vyote kati ya Viwili ulivyovitaja... Namaanisha uwezo wa kupata nafasi ya kuungwa kwenye hilo jukwaa.Sijakuelewa unamaanisha umri au niwe mkongwe Jf
Hua naziona baadhi ya post zake hua zipo hot sana mkuu kama ukisoma haya maelezo unaeunganisha member naomba uniunganisheHahahah!... Simaanishi vyote kati ya Viwili ulivyovitaja... Namaanisha uwezo wa kupata nafasi ya kuungwa kwenye hilo jukwaa.
Ila anyway, mtafute JamiiForums pm, kisha muelezee nia yako
Na kweli hujaiona[emoji23] [emoji23]Mi mpaka saivi sijaona sehemu ya kuweka profile pic
Hilo jukwaa LA Mambo ya wakubwa unaunganishwaje [emoji12]Mi nilivijua vyote na sikuhitaji msaada wa mtu yeyote, msaada nilioomba humu ni wakuunganishwa na jukwaa la mambo ya wakubwa
Unawaambia mods tu wanakuunganisha, Ongea na Maxence Melo au JamiiForumsHilo jukwaa LA Mambo ya wakubwa unaunganishwaje [emoji12]