Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Mi nilivijua vyote na sikuhitaji msaada wa mtu yeyote, msaada nilioomba humu ni wakuunganishwa na jukwaa la mambo ya wakubwa
Hilo la mambo ya wakubwa mm mwenyewe bado, kma waweza niunganishe
 
Wee utakuwa mgeni himuu
 
halafu inaonekana umejua hivi karibuni tu
sio kwa mi_ice cream ile
Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.

Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
 
Nilitukanwa ila nkaja kugundua ni sehem ya maisha ya baadhi ya wanaJF (Matusi, kejeli na dharau) hata kwa vitu wasivyovijua.
 

Kulikuwa na member anaitwa Malaria Sugu.......distorter wa hali ya juu kabisa. Sijui alikufa?
 
Nilijiunga JF kwa username yangu halisi........ Nikaja kugundua wengi wana fake I'd ikabidi na Mimi nifungue nyingine ambayo ndiyo hii kwani Kuna nyuzi sikuwa huru kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…